Almasi inang'aa: Diamond yumo katika video tisa (9) zinazotrend Tanzania Youtube

Almasi inang'aa: Diamond yumo katika video tisa (9) zinazotrend Tanzania Youtube

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1590687079279.png



1590687106924.png



1590687132788.png



1590687151101.png



1590687171119.png



1590687188915.png



1590687209647.png



1590687230924.png



1590687260251.png
 
Dah wakati kwa wenzetu video ina yo trend ni ya nasa/spacex kupeleka wanaanga angani ,,,,,,
povu ruksa...................
 
Hivi keyboard zenu haziwezi kutype maneno mengine pasipo kumtaja mfalme wa kundi fulani kwenye nyuzi zinazomhusu simba wa mbuga fulani hapo jijini DSM!?🙄
 
Taifa lilishakubali siku nyingi kwamba Platnumzz ndiye mfalme wa media kibongobongo.
Yaani kama unataka CHOMBO yako ya habari itrend hapa Tz wewe mzunguzie Mondi kivyovyote vile iwe kwa ubaya au uzuri!!
 
Back
Top Bottom