Almasi na ukakasi Katika ardhi ya Tanzania

Sio kweli kwamba wasukuma walikuwa wajinga hapana ni wakati huo tu awakuijua thamani ya almasi na hata wangeijua wangeipeleka wapi. So thamani utegemeana na wakati. Mfano sasa sisi hatujui thamani ya mito na ardhi yetu yenye rutuba
 
Kwa kweli unajua kuelezea kama unaishi huko Mimi ni mzawa wa huko shinyanga maeneo jirani na mwadui tulikuwa tunaenda kusaga unga nilikuwa natamani sana hizo fura za elimu wakati huo nilikuwa mdogo miaka ya 90 niliona watoto wakishushw kwenye mabasi barabara safi Kila sehemu mabasi yanawapakia watu ckujua kama wanalipa nauli kwani sikuona konda akining'inia kwenye mlango da Williamson the Great.
 
Sasa wanunge wa mkoa wa shinyanga wanalijua hilo mbona sasa mwadui ni kama gofu makaburu wamechimba almasi Kila eneo hakufai wachimbaji wadogo wakiemda kuchimba usiku ni dhahama tu watetezi wabunge wako wapi Wana Nchambi aliyekuwa mbunge wa kishapu madini ya almasi mji wa mwadui yapo na jirani kama maganzo yapo suala imekalia kukamata watu badala kutafuta mbinu ya kuendelea uchimbaji wa madini vitendea vya kutosha wasomi wako wengi wa kutafiti . Da inaniuma sana kumbe almas ya Mwadui ndio bora dunuani huyu mwandishi amenifungua mengi sana Aisee Asante Mwadui kwetuu
 
Ulikuwa kijiji gani
 
Familia tano zinazomiliki dunia ni
1.The Rotchchild family... USA
2.The Rocefeller family
3.The Oppenheimer family
4.The Warburg family
5.The Dupont family.
Hawa ndio wanacontrol uchumi na siasa ulimwengu pote.
Ni top illuminati family ndio wanamiliki bank ya Dunia, IMF, media zote kubwa duniani, madini, mafuta na raslimali zote za dunia ni zao.
Wao ndio upanga bei, wapanga sera na ajenda zote.
 
Nakabaki kusikitika tuu aysee
 
Kumbe bado una njozi za maganzo!
 
Kumbe bado una njozi za maganzo!
Maganzo tulienda Sana shopping siku za soko enzi hizo ni mwendo wa lapa hazikuwepo bodaboda.Tukikatiza katikati ya mashamba tukiipita shybush sekondari kwa chini yake.
Nasikia kote huko ni majumba tu.Hakuna mashamba tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…