Almost 70% of Tanzania is electrified

Mkuu Redeemer VP kuhusu hij miradi ya Maji maana nayo inatisha matank kama viwanja vya mpira wa miguu
 
Mbna bado naona wamekosea hesabu..tanzania kw umeme sio mchezo bana..sidhani km kuna nyumba haina umeme kw sasa
 
Haya mapinduzi ya umeme Tanzania ni ya miaka ya hivi karibuni, halafu hatuhitaji approval kutoka kwa yeyote, watanzania wenyewe wanaoana kazi, then kuna kipindi nilisoma article ya mkenya aliyesafiri kutoka Namanga mpaka Dar na Dar mpaka Horohoro, hizo routes unapita katika vijiji vingi sana vya Tanzania na alikiri kwamba Tanzania vijijini kuna umeme tofauti na Kenya
 
Ni kweli kabisa Tz mzima una umeme πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Thought so too. If 1369MW can cover 70 percent of a country almost twice as big as Kenya..... Then the rest of the world must be doing something wrong. Tanzania needs to show the whole world how to perform such miracles!!!
We need to go there for benchmarking on how to generate ghost electricity that can serve 70% of 60million people.
 
2014 tu tulikua na megawatts zaidi ya 1500,toka Magu aingie madarakani kapanua Kinyerezi natural gas electric production kwa zaidi ya megawatts 400, kwa sasa tunakaribia megawatts 2000, halafu umeme upo mpaka wa ziada, mikoani hakuna matumizi makubwa ya umeme unaweza kuta Mkoa mzima hata megawatts 30 hawamalizi
 
We need to go there for benchmarking on how to generate ghost electricity that can serve 70% of 60million people.
Manze, sisi huku na 2000MW we cannot even cover 50M people πŸ’― percent!!! They need to teach us their ways 😬
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…