Almost 70% of Tanzania is electrified

Mbona wakenya wanaumia sana humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tatizo wakenya Wakiona kitu hakiwezekani kwao basi hudhani kila mahali hakiwezekani kufanyika.
Muulize mkenya gharama za kuunganishiwa umeme kwanza, sababu usione wanapinga tu, sababu wanajua kuunganisha umeme Kenya ni sawa na kununua kinu cha nuclear πŸ˜…πŸ˜…
 
Ndio maana naipenda nchi yangu Tanzania kwa sababu huwa maendeleo yanasambazwa kote kote sio kama nchi zingine maendeleo ni mjini tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania maendeleo ni kila mahali, unaambiwa huko visiwani kama feasibility inaonesha umeme hauwezi kufika kwenye kisiwa cha mbali zaidi bado serikali itakufungia solar power yenye nguvu sawa na umeme kwa gharama ile ile ya 27k kwa household, Kenya Hili halitokaa litokee
 
Ugua taratibu, sisi tupo mwangani
Tena JPM alivyoingia tu na bei ya unit kashusha, umeme mpaka vijijini, nina zaidi ya miezi 7 sijawahi ona giza
Kwani unadhani Kenya ndio kuna giza? Ama unajaribu kusema nini?
 
Tunajua Hili linawauma sana, tena hizo megawatts ulizozitaja bado ni nyingi sana, mikoa mingi Tanzania haina matumizi makubwa ya umeme, home appliances hazili umeme, mjinyonge

View attachment 1219704
Tunaumia Sana, tunashangaa vipi mumeweza kusambazia umeme wananchi zaidi ya asilimia 70 MW1400 ilhali Kenya imesambaza asilimia 70 pia MW2700. Kumbuka Tz Ni Nchi ya viwanda
 
Tunaumia Sana, tunashangaa vipi mumeweza kusambazia umeme wananchi zaidi ya asilimia 70 MW1400 ilhali Kenya imesambaza asilimia 70 pia MW2700. Kumbuka Tz Ni Nchi ya viwanda
Tanzania tunatumia natural gas viwandani, soma hizo tweets πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

UUmeme ni kwa matumizi ya kawaida ndio maana tumewapita na tutaendelea kuwapita mpaka tuheshimiane.
 
Kwa misifa tu uko sawa.
Hapana msee kwenye hili ata wapinzani hawa wezi fungua mdomo. Just imagine kwa chini ya $10 unaletewa umeme! Wachache watashindwa ku afford. Kwa chini ya $ 4 unapata units 80, inapita ata miezi mitatu hujasikia habari za umeme kuisha. Bado bwawa la Rufiji likiisha bei itapungua zaidi kwa nchi nzima. Huko mbele kila nyumba Dar itakua na A.C kama Abu dhabi. Karibu Tz msee uone matunda ya misingi ya kijamaa.
 
Muulize mkenya gharama za kuunganishiwa umeme kwanza, sababu usione wanapinga tu, sababu wanajua kuunganisha umeme Kenya ni sawa na kununua kinu cha nuclear πŸ˜…πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ufisadi hautoruhusu kule kwao πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…