Almost 70% of Tanzania is electrified

kuna tofauti ya kijiji kuwa na stima na boma 70% kuwa na stima
Overall population baada ya connections kwenye hiyo number ya vijiji vyote plus urban ndio tunapata hiyo %

Boma ndio nini kwenye huu muktadha?
 
Lakini kwa hiyo capacity Tanzania ya 1500 MW only is NOT something to be proud of especially for a population of 58m people.Hii inawezekana tu nyumba Tanzania zikipata taa moja tu na hakuna matumizi mengine ya ememe.
 
Huu ni uongo i should be 90%, nilikua nafanya project na organisation moja tulitembea almost 80% ya rural Tanzania, sikuona kijiji hata kimoja kisicho na umeme wa REA
Sijui mlitembelea wapi,kuna baadhi ya vijiji ambavyo imepita line ya HT lakini hakuna LT kabisa navyo utahesabu kama vina umeme ?
 
Data ni za ccm ,tuleteeni za world bank,un etc tunajua uchaguzi unakaribia kwaivo cccm kwa na propaganda ni Chanda na pete
Kwa hiyo unataka data kutoka kwa wale waliosema Kenya currency ni fake? Kuwa ni inflated by 30% na mkasema ni waongo? Au ku a wengine?
 
Kitu ambacho kinanisononesha kikiasi gani sisi, hasa hawa ndugu zetu wa hapo juu want everything to stamp approved by mzungu. Unawaambia tuna umeme 70% ati wanasema USAID, WB wanasema mko at 30%, tunawaambia maji yapo almost everywhere... Still they are looking for some mzungu approval. Why!!! Kwanini!!!??

Hivi ni lini tutaondikana na hii inferiority complex!!! At every thing must be according to some Western approval of some sort!!!

Hivi how many things has the west cooked up, we all know and we still don't seem to understand that they are just liars!!!

War on Iraq, war on terrorism, lies about Venezuela, lies about African countries, and more currently lies about Iran!!!

Hivi lini tutaamka na kujua kama everything they make is for their own good, it's never about us.

I'm half Kenyan, I actually have more family in Kenya than Tanzania, one thing ndugu zangu wa Kenya wote huwa tunakubaliana ni kwamba, the Tanzanian Road network, electricity connectivity, water connection and basic healthcare is better in Tanzania than in Kenya!!!

These are people that come as far as Busia, Bungoma, Kakamega, Mumias, sio watu wa Nairobi na Mombasa tu!!
 
Ngoja Mungiki zipate WiFi ya bure, hiyo hoja yako hawataiona wata anza kukushambulia personality yako.
 
Mbona siwaelewi ninyi wabongo, itawezekanaje LDC kusambaza umeme hadi vijijini 70%, wakati kina " Mido inkamu kantri" bado wako 60%?.
Hatutaki uchumi wa alphabeti, sis ni kama China wanavyokataa kuitwa developed... 😂
 
Thought so too. If 1369MW can cover 70 percent of a country almost twice as big as Kenya..... Then the rest of the world must be doing something wrong. Tanzania needs to show the whole world how to perform such miracles!!!
Manze, sisi huku na 2000MW we cannot even cover 50M people 💯 percent!!! They need to teach us their ways 😬
Ni kwasababu matumizi hayo kwa asilimia kubwa ni ya nyumbani ambapo mtu anatumia umeme kuwashia taa, redio na TV.

Huko vijijini ndani ndani utakuta nyumba ina taa moja tuu hivyo Watt hour inayotumika ni ndogo sana. Nikikupa mfano rahisi, pasi (Iron) moja inatumia 2000W ni sawa na nyumba 33 za vijijini zenye bulb moja inayotumia 60W .

Hali hii ya kutumia umeme mdogo itabadilika watu watakapoanza kufungua viwanda vidogo vidogo, mfano vya kuchomelea (welding shop) na kuongeza matumizi mengine makubwa ya umeme majumbani. Hii ndiyo sababu ya serikali ya Magufuli kuweka shabaha (target) ya kufua umeme wa zaidi ya 10GW (10,000MW) 2030.
 
Lakini kwa hiyo capacity Tanzania ya 1500 MW only is NOT something to be proud of especially for a population of 58m people.Hii inawezekana tu nyumba Tanzania zikipata taa moja tu na hakuna matumizi mengine ya ememe.
Hiv 2015/16 tulikuwa 1400MW since hapo tumeongeza Kinyerezi 2 240MW na Kinyerezi 1extension 185 mw iko 90% ..power ipo 1604mw sa hiz kwann mnanganga na data ambazo haziko updated ili hali zenu mna update ...mpka mwisho wa mwka 1789MW baada ya Kinyerezi 1ext .
 
Wewe zero brain kweli..hivi unajua tatizo la independent power producers katika nchi...?? Hayo ndomambo Magufuli alikataa...
Independent power producers(IPP) have their role in the generation mix all over the world, usilete propaganda za ccm hapa..all boils down to the contracts you negotiate.

And what's with tanzanians and attacking the individual rather than give a counter argument with facts. Is this what is taught in your education sysyems. Ad hominem adds no value to your point.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…