Wapi ulienda na mwaka gani acha unafaki weka fact mezaniHuu ni uongo i should be 90%, nilikua nafanya project na organisation moja tulitembea almost 80% ya rural Tanzania, sikuona kijiji hata kimoja kisicho na umeme wa REA
That's 2017 2370MW, excluding the 310MW wind power, 165MW Olakaria Geothermal unit V, Garissa 50MW solar among others.Leta source nyingine tofauti na ya kwenye website ya kengen na ile ya turkana 310 megawatts, bring another independent producer of over 600 more megawatts.