Aloneym,Music Producer anaekuja kwa kasi sana Bongo.

yani ww umechelewa kujua ama utakua mtt wa juzi bado..jaribu kufatilia tu kidg,huyo producer ni wa muda mrefu sana tena nafikir hata diamond hajatoka kimziki yeye alikuwepo,na anaimba pia huyo!!
 
Oooh I dont knew that..But nje ya mada izo chuchu kwenye avatar ni saa ngapi we mboga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…