Nakubaliana na wewe mahali!!! Kuna sehemu sera yetu ya Elimu umekosa kugusa panapotakiwa, ndo maana tumebaki kutapatapa tu, kiswahili tunachojua ni cha mtaani tu wala siyo cha kitaaluma!! Kingereza ndo basi tena!!We ndo utakuwa mwendawazimu!Kwa nini ulazimishe watu wajifunze kiswahili na si kisukuma?Mtu anazaliwa hajui kiswahili wala kiingereza,anaingia shule ya msingi ndo anaanza kujifunza kiswahili,akiingia sekondari anajifunza kiingereza,lakini ukimuuliza density ni nini kwa kiswahili haifahamu,inaonekana kupata maarifa kwa kiingereza ni rahisi kuliko hicho kiswahili chako.
Halafu hii kampeni ya kiswahili inaniboa sana maana inawaangukia watoto wa maskini tu huku matajiri wakijifunza kiingereza na ndio wanakuja kututawala.
Umenipa kazi sawa ntaifanya lakn na ww pia ukakipitie vzur je tunazalisha vtu vifuatavyo vpo??Nimependa swali lako sana,NAZALISHA NINI ILI KUTIA NGUVU KISWAHILI ?
ingia katika google halafu andika neno -MIMI MALENGA- tafuta hadi uone nembo yenye nusu jua na kitabu na chini maneno ya -MIMI MALENGA- kisha fungua hapo.
**KUNA VITU SHERIA ZA JF HAVITURUHUSU KUWEKA HAPA.
Check hapa mkuu: Baraza La Kiswahili la Taifa - BAKITAMkuu unaonekana ni mdau namba moja wa Kiswahili hapa jukwaani!!
Kama ni hivyo nadhani unaweza kuwa na mahusiano ya karibu na Baraza LA Kiswahili. Naomba unifikishie ujumbe wangu kwao kuwa
Wamelala sana, nimesaka tovuti yao sioni popote ilipo! Nikajaribu Baraza la Kiswahili Zanzibar pia hola!! Nikajaribu TATAKI napo nimeambulia patupu!! Taasisi zinazohusika na usimamizi na ukuzaji wa kiswahili hazina hata tovuti ni aibu!!!
Nashukuru sana mkuu, nilitafuta hii kitu sikuipata!! Huwenda ni indexing issue, as the site isn't optimized for getting higher ranks in search enginesCheck hapa mkuu: Baraza La Kiswahili la Taifa - BAKITA
SIKUAMINI LAKINI NAENDELEA KUJIFUNZA.Wapo wanaoamini eti kuna maneno au vitu vya kitaalamu ambavyo kwa kiswahili havina maana.
kwanza hao ni wale wavivu sana wa kufikiri,kujifunza na kuwaza.
jiulize je 'television' ilikuwepo kabla ya kiswahili au baada ya kiswahili ?
kwanini leo ikaitwa 'runinga' .
tazama kitu car ambalo liliitwa gari au *website* ambayo ikaitwa 'tovuti' .
je nani alivipa majina ya kiswahili .
Kuna uvivu unafanyika hasa wa wataalamu wa kiswahili katika kukifunza kiswahili.
Shida ni GodZilla na Diva,Shida inakuja pale ambapo sisi wenyewe hatutaki kukithamini kiswahili.
Watanzania ukasuku unazidi. Kwa hali hii hatutaona kiswahili ikipata shavu.Shida inakuja pale ambapo sisi wenyewe hatutaki kukithamini kiswahili.
Mkuu unaonekana ni mdau namba moja wa Kiswahili hapa jukwaani!!
Kama ni hivyo nadhani unaweza kuwa na mahusiano ya karibu na Baraza LA Kiswahili. Naomba unifikishie ujumbe wangu kwao kuwa
Wamelala sana, nimesaka tovuti yao sioni popote ilipo! Nikajaribu Baraza la Kiswahili Zanzibar pia hola!! Nikajaribu TATAKI napo nimeambulia patupu!! Taasisi zinazohusika na usimamizi na ukuzaji wa kiswahili hazina hata tovuti ni aibu!!!