Alovera na muarobaini

mirymicaiah605

Senior Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
107
Reaction score
17
Jamani nahitahiji kujua haya maji ya alovera na ya muarobaini yanatibu nini
 
inategemea na namna utakavyo ya andaa na ku ya tumia
 
Namaanisha kwa muarobain wale wanaochemsha na kunywa maji yake
Alovera ile wakitwanga au kusaga inasaidia nn??
 
Mimi ni mtumiaji mkubwa wa alovera na muarobaini.Ninachokifanya nachemsha kwa pamoja.Ni dawa nzuri sana ingawa ni chungu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…