Black ma colour
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 733
- 663
Habari wana JF.
Naomba msaada wapi au kiwanda kipi naweza enda wakanisaidia kunitengenezea sabuni na lotion za alovera.
Nahitaji sabuni na lotion zenye kiwango kikubwa cha alovera not less than 90% .
Kumbuka mimea ya alovera ninayo.
Ushauri nitapokea pia.
Urs Kassongo .