Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Bila kuwa alpha male wanawake watakupelekesha, watakuendesha, watakupanda kichwani.
Your alpha character is your immune system , once it's weak you left vulnerable to all these viruses and financial vampires called women.
Pamoja na umuhimu wa kuwa na alpha character pia usisahau kutafuta hela. Hauwezi ukawawekea watu sheria zako ukiwa hauna kitu tumboni wala mfukoni.
Maisha hayana huruma kwa mwanaume ambae hana hela, kwa mwanaume ni hatia kuishi hapa duniani bila kuwa na hela.
Mwanaume masikini hana sauti, hana mamlaka, hawezi kupendwa. Ukiwa masikini hakuna atakaekusikiliza wala kujali chochote kuhusu wewe.
Usinielewe vibaya, simaanishi kwamba usipokua na hela uwe fala. Kuwa na misimamo yako na usikubali kuwa simp lakini lazima ukubali ukweli kwamba bila hela mambo yako hayataenda kiurahisi ukilinganisha na mwenye nazo.
Tafuta hela, lazimisha dili liteme, usiache fursa ikupite, na ukizipata weka terms and conditions zako, mwanamke haingii kwenye mfumo wako mpige chini. Umetafuta hela ili utawale na kuwa na uhuru wa kuchagua kilicho bora sokoni sio kuwa mateka au kuishia kuwa na mwanamke makapi
Tilia mkazo kwenye kutafuta hela, sio wanawake. Hautapata faida yoyote kufukuzia mademu.
Wanawake hawawezi kukupa hela ya kutumia, lakini hela inaweza kukupa wanawake wa kuwatumia.
Ukiwa na hela mwanamke hawezi kukuwekea sheria. Mwanamke ana msimamo kwa mwanaume masikini. Ukiwa na hela mwanamke hawezi kukuacha na hata akikuacha utapata mbadala wake ndani ya muda mfupi tu.
Money solidify your alphaic nature.