Kutokana na kasi ya kundi la M23 kujiokotea maeneo huko Kivu kasikazini,
Mgodi wa ALPHA MINE ambao ni mali ya serikali ya Canada, umefunga milango kwa kinachoitwa kwa muda.
Mpaka sasa, wafanyakazi wote wapo kwenye harakati za kurudi makwao, mpaka hapo kitakapoeleweka.