ALPHARD AU BREVIS MSAADA TAFADHALI.

ALPHARD AU BREVIS MSAADA TAFADHALI.

bysange

JF-Expert Member
Joined
Jan 11, 2011
Posts
4,456
Reaction score
1,565
Bila shaka mfungo wa leo imekamilika salama yaani kwa Resma na mwezi mtukufu wa Ramadhani.Nisiwachoshe sana wakuu,mawazo yenu ni muhimu hapa kati ALPHARD na BREVIS kwa sifa ya
1.ubora wa injini
2.matumizi. ya mafuta
3.upatikanaji wa vipuli
4.lipi linastahimili mazingira ya vijijini zaidi
Kwa maelezo hayo je naweza nunua lipi? Thanks in advance
 
1. Ubora wa engine.

Alphard inakuja na 2AZ na 1MZ wakati Brevis inakuja na 1jz fse au 2jz fse.

2AZ ina majanga yake ya kula Oil kama inakunywa maji baada ya muda fulani.

1mz ni engine nzuri ila ni Cc2996

1jz fse na 2jz fse ni engines nzuri ila hazitaki ujanja ujanja otherwise Brevis utaichukia.

2. Matumizi ya mafuta hata hazitofautiani, nenda na yoyote.

3. Spea zipo Bwerere ila Master Cylinder ya Brevis inashare na Land Cruiser 100 series bei mkasi usije sema hatukukuambia.

4. brevis inaweza kustahimili mazingira ya vijijini. Alphard iko chini sana.

Japo hizi gari hazifanani kabisa sijui umewaza nini kuzilinganisha.,
 
Cc2996 daaah hatari sana ukinogewa tu...
Japo hapo mwishoni umenilima maksi😂😂 ila mwanga umenipa,be blessed
 
Back
Top Bottom