Nafikir hujui velfirekwa wapenda masafa marefu na mwendo ni Alphard, injini yake kubwa haichoki haraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
weka picha ya vellfire tafadhaliHabarini wanajamvi
nimejichanga natka kununua moja kati ya gari hizo hapo mbili naomba mweny kujua ipo bora anifahamishe zote ni toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Bajeti yako ipoje? Kama ni za kujichanga usijaribu Alphard ndugu. Tafuta PASSOHabarini wanajamvi
nimejichanga natka kununua moja kati ya gari hizo hapo mbili naomba mweny kujua ipo bora anifahamishe zote ni toyota
Sent using Jamii Forums mobile app
Analinganisha gari ya milioni 50 kwa milioni 15
Hiyo hapo nilipiga picha hapo maeneo ya Mnazi mmoja(Pugu Road).Hizi gari zipo sana mitaa ya posta especially maeneo yenye Bureau de change...
Sasa mkuh kwa hili ndinga bdo unafikiria alphard tuHiyo hapo nilipiga picha hapo maeneo ya Mnazi mmoja(Pugu Road).Hizi gari zipo sana mitaa ya posta especially maeneo yenye Bureau de change..Ma don Ndogo Gari zao hizi..View attachment 983820
#Muungwana_John
Broh najua you HAVE TO THINK BIG lakini sometimes inatakiwa uwe tu REALISTIC na malengo yako. For now acha to ni stick na Alphard..[emoji3][emoji3][emoji3]
Nmkupata broBroh najua you HAVE TO THINK BIG lakini sometimes inatakiwa uwe tu REALISTIC na malengo yako. For now acha to ni stick na Alphard..[emoji3][emoji3][emoji3]
#Muungwana_John
..mbona alphard ya 2018 ni 200m??
Gari la vijana walevi na kubebea mabeberu kuwatoa airport.....Alphard ni mnyama, achana na hiyo nyingine
Tafiti zinaonesha gari nzuri, luxury car/family car duniani ni AlphardGari la vijana walevi na kubebea mabeberu kuwatoa airport.....