Melubo Letema
JF-Expert Member
- Apr 1, 2020
- 416
- 414
Jezi atakayoivaa Alphonce Felix Simbu siku ya Mashindano.
Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania na Mwakilishi Pekee , Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia yanayofanyika huko Budabest, Hungary ; kuanzia 19 -27 Agosti 2023.
Simbu anatarajia kushiriki kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia kwenye mbio ndefu ( Marathon) siku ya Jumapili, tarehe 27 Agosti 2023.
Tumtakia Kila la Heri ili aje na Medali.