Jezi atakayoivaa Alphonce Felix Simbu siku ya Mashindano.
Mwanariadha wa Kimataifa wa Riadha Tanzania na Mwakilishi Pekee , Alphonce Felix Simbu anatarajia kutuwakilisha kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia yanayofanyika huko Budabest, Hungary ; kuanzia 19 -27 Agosti 2023.
Simbu anatarajia kushiriki kwenye Mashindano ya Riadha ya Dunia kwenye mbio ndefu ( Marathon) siku ya Jumapili, tarehe 27 Agosti 2023.
Waliofikia viwango vya kutuwakilisha ni Wawili tu, Simbu na Geay, ila Gabriel Gerald Geay atashiriki Sydney Marathon mwezi Septemba mwaka Huu, amekacha mbio za dunia…!