Alphonce Joseph 'Mchumiatumbo', The new Heavyweight Champion in Tanzania

Alphonce Joseph 'Mchumiatumbo', The new Heavyweight Champion in Tanzania

The Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2009
Posts
49,282
Reaction score
117,244
Jana hadi naondoka ukumbi wa PTA Sabasaba nilikua sijaamini jinsi ngumi za TZ zilivyo, bado zinaendeshwa kienyeji na kimasikini sana!

Kulikuwa na vituko viingi mno, kwa ufupi nilikua very dissapointed. Uhuni ulikuwa umetawala mno, ajabu kubwa kuliko yote ni jinsi ambavyo ngumi tena pambano la uzito mkubwa kuliko wote zilivyokosa promotion ya maana.

Watu wengi walikuwa hata hawajui kuna pambano la mkanda wa heavy weight Tanzania na mabondia wote walikuwa hawajawi kupigwa.

In the end 'Mchumiatumbo' alionesha how good he is round ya kwanza tu pambano kwisha

Hofu ya kutokea fujo ya mashabiki wa IDDI Bonge ilisababisha washindwe kumtangaza mshindi na kumpa mkanda wake
sijui ilikuaje later, watu walikua wanatoka wakihofia vurugu!

Tanzania bado sana kwenye ngumi!
 
Nikiwa MWANA-MANZESE nimesikitishwa na kipigo ncha SIMBA WA VITA (Idd Bonge) lakini tupo pamoja naye na atajiandaa kuchukua mkanda huo.

Pamoja sana IDD BONGE, TEMBOOOOOOO!
 
15875_596984297102521_8714731417474773203_n.jpg

 
Nikiwa MWANA-MANZESE nimesikitishwa na kipigo ncha SIMBA WA VITA (idd bonge) lakini tupo pamoja naye na atajiandaa kuchukua mkanda huo
Pamoja sana IDD BONGE.......TEMBOOOOOOO

Wau wa Manzese mpunguze fujo
mtu wenu kadundwa lakini watu wameogopa kutangaza mshindi kuwahofia

Ili boxing ivutie watu wengi ustaarabu muhimu
uhuni wenu muishie Manzese tafadhalini
 
Sisi tulikubaliana kwa kauli moja kwamba ni better pambano likapelekwa PTA badala ya FRIENDS CORNER na ndivyo ilivyokuwa.

Labda kinachoendelea ni PHOBIA tu dhidi ya MANZESE, mi nakumbuka nilienda mahali tumekaa na watu tusojuana, kila mtu simu yake na vitu vingine kama modems, laptops na tablets zikiwa mezani. Ilipofika muda wa introduction and where each is coming from.

To my suprise ilipofika zamu yangu na kujitambulisha kwamba ndo MAHESABU mwenyewe and I reside in a good part of Dar es salaam city known as MANZESE....WHAOOOOOO, you know what happened?

EVERYBODY TOOK HIS BELONGINGS TO THE SAFEST PLACE!!! kasimu kangu ka tochi na chaja ya kobe ndo vilibaki mezani.
Anyway, baadhi ya vitu tulivyokubaliana ni kuendeleza USTAARABU hasa pale tunapokutana na wageni
 
Ngumi Tanzania bado sana niliwahi hudhuria pambano siku za nyuma niliapa sitopoteza tena muda wangu kwenda.
 
Back
Top Bottom