The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Jana hadi naondoka ukumbi wa PTA Sabasaba nilikua sijaamini jinsi ngumi za TZ zilivyo, bado zinaendeshwa kienyeji na kimasikini sana!
Kulikuwa na vituko viingi mno, kwa ufupi nilikua very dissapointed. Uhuni ulikuwa umetawala mno, ajabu kubwa kuliko yote ni jinsi ambavyo ngumi tena pambano la uzito mkubwa kuliko wote zilivyokosa promotion ya maana.
Watu wengi walikuwa hata hawajui kuna pambano la mkanda wa heavy weight Tanzania na mabondia wote walikuwa hawajawi kupigwa.
In the end 'Mchumiatumbo' alionesha how good he is round ya kwanza tu pambano kwisha
Hofu ya kutokea fujo ya mashabiki wa IDDI Bonge ilisababisha washindwe kumtangaza mshindi na kumpa mkanda wake
sijui ilikuaje later, watu walikua wanatoka wakihofia vurugu!
Tanzania bado sana kwenye ngumi!