Alphonce Simbu, Failuna Matanga washinda mbio za BIMA Marathon 2021

Alphonce Simbu, Failuna Matanga washinda mbio za BIMA Marathon 2021

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
Mwanariadha wa kimataifa, atakaeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki Japan mwaka huu Alphonce Felix Simbu ameshinda mbio za BIMA Marathon 21K kwa muda wa (1:02:09), naye mwakilishi pekee wa kike wa mashindano ya Olimpiki Failuna Abdi Matanga ameshinda mbio hizo kwa muda wa (1:16:52)

Katika mbio hizi, wao wamekimbia ili kujipima miili yao na Maandalizi ya Olimpiki yatakayofanyika Tokyo Japan August 8, 2021 (kwa Marathon).
 
Back
Top Bottom