Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Hawa ndio washauri wa viongoz? Unategemea nn?Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amefichua kuwa aliwahi kushika nafasi ya mshauri wa juu wa viongozi wawili wa Afrika: Rais wa zamani wa Zambia, Mheshimiwa Michael Sata, na Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mheshimiwa Joseph Kabila.
Temba anasema moja ya ushauri wake mkubwa kwa Kabila ulikuwa ni kuzimwa kwa mtandao wa simu na intaneti wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi kupitia CENI (Tume ya Uchaguzi ya DRC), kwa nia ya kudhibiti taarifa potofu na taharuki.
Hivi watu wa aina hii. wasio na uwezo hata wa kuona wala kujenga hoja ndogo wanapatikanaje? Na kwanini wanapewa kazi zenye kuhitaji watu wenye uwezo mkubwa?Hawa ndio washauri wa viongoz? Unategemea nn?
Sema hii ya ku confirm kuwa kundi la KJ kwa kushirikiana na aliyekuwa makamu wa rais wakati huo kushiriki kumuua Dkt Magufuli aisee ni mbaya sana tena sana.
Hii mbona ni issue nyeti sanaSema hii ya ku confirm kuwa kundi la KJ kwa kushirikiana na aliyekuwa makamu wa rais wakati huo kushiriki kumuua Dkt Magufuli aisee ni mbaya sana tena sana.
Wasiojulikana kwa ubora wao.Alphonce Temba, aliyekuwa mtia nia ya Ubunge Jimbo la Kibamba kupitia CCM, amefichua kuwa aliwahi kushika nafasi ya mshauri wa juu wa viongozi wawili wa Afrika: Rais wa zamani wa Zambia, Mheshimiwa Michael Sata, na Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mheshimiwa Joseph Kabila.
Temba anasema moja ya ushauri wake mkubwa kwa Kabila ulikuwa ni kuzimwa kwa mtandao wa simu na intaneti wakati wa kutangaza matokeo ya uchaguzi kupitia CENI (Tume ya Uchaguzi ya DRC), kwa nia ya kudhibiti taarifa potofu na taharuki.
Unashangaa!!! Hao ndiyo washauri wa shujaa wako Magufuri.Aiseee
Issue ya Magufuli huwa naiita glorious revolutionNani huyo polepole Magufuli alikatika ghafla sana Kama Membe hii ya Ndugai ngoja tuone
Maana wasingefanya hivyo hata magufuli angeendelea kuua wengi. Kama walifanya hivyo kweli walifanya jambo la maana sana. Tatizo ni kuwa na wao wameiga kile kile alichokuwa anafanya huyo Magufuli. Sasa acha watajane kwanza.Sema hii ya ku confirm kuwa kundi la KJ kwa kushirikiana na aliyekuwa makamu wa rais wakati huo kushiriki kumuua Dkt Magufuli aisee ni mbaya sana tena sana.
Mauaji ya Jiwe ni colabo ya Msoga na Kizimkazi hili halina ubishi.Sema hii ya ku confirm kuwa kundi la KJ kwa kushirikiana na aliyekuwa makamu wa rais wakati huo kushiriki kumuua Dkt Magufuli aisee ni mbaya sana tena sana.
Alphonce Temba
Wasiojulikana huyuTOKA MAKTABA :
14 June 2023
Mwinjilisti wa kimataifa, Alphonce Temba amesema maamuzi ya Rais Samia Suluhu Hassan, dhidi ya bandari yanapaswa kuheshimiwa akidai kuwa yatailetea nchi mafaniko makubwa.
View: https://m.youtube.com/watch?v=Khlfm7UMMI0Pia aliongeza kuwa wanopinga juhudi hizo wengi wao ni walarushwa na wanufaika wakubwa wa bandari ile, na kwamba hawafahamu adha wanayopitia wafanyabiashara....