GE2025 Alphonce Temba: Nikichaguliwa Mabasi yote yataishia Stendi ya Magufuli

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
umefikiria kirahisi sana, ukiumiza kichwa ni sahihi mabasi kuishia magufuli stand
 
Kuna mtu anatokea mbagala huko ahangaike na daladala mpaka magufuli sioni wanawazaga nini
 
mabasi yanaongeza msongamano? watu wanaondoka saa sita usiku kuna msongamano gani? hajaziona BAJAJ? angekua na akili angeondosha BAJAJ na sio habari za mabasi, kewahio anataka abiria waendeje Kigamboni? Gongo la mboto? na kwingine?
Yule ni porojo tu hana hesabu kichwani ndio hao waliokimbia basic mathematics secondary.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…