joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Huyo polisi anakiri kwamba eneo hilo mara kwa mara linatumiwa na Alshabaab ktk kushambulia na kuteka magari, vipi wasichukue hatua za kulidhibiti au hata kusindikiza magari kwa magari ya Jeshi?
Sent using Jamii Forums mobile app