Alshabaab wajilipua ndani ya mgahawa wa chakula kwenye huu mwezi wa ramadhan

Kila kukicha Kuuana sisi kwa sisi
dunia inaelekea wapi!!
 
Ila jamani huu mtindo wa mabomu ya kitegesha barabarani ni mbinu mpya ama?
 
ofcourse we are not 100 percent sure but come to think of it, who finances these guys? is it the somali govt? i dont think so...
 
Kupigana ni kawaida kwa wenzetu


Tatizo ni kutokuwa na elimu na kutoona mbali. Hapa wameua wenzao kisa eti wanakula mchana mwezi wa fungo according to them. Jamani hivi kwa nini watu wanakosa akili za kufikiri? Mtu hata kama hujasoma lazima uwe na kitu kinaitwa elimu dunia, a simple common sense ya kujua lipi zuri na baya. Sasa unakwenda kuua watu kisa wana enjoy maisha yao, kijana wa kiislam ana stress za kutokuwa na kazi kwa sababu hajasoma anakwenda kukatisha maisha ya wengine. Hivi kweli Mungu wa kiislam anaruhusu haya? Hizi dini za kuletewa kwa kweli umefika muda wa kuzitosa, hatuzihitaji hapa Afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…