Alshabaab wauawa baada ya kuvamia kituo cha polisi Mombasa

Alshabaab wauawa baada ya kuvamia kituo cha polisi Mombasa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Habari za hivi punde, wapiganaji 3 wa Al shabaab waliokua wamevalia mavazi ya wanawake aina ya Baibui wamevamia kituo cha polisi, lakini wakakuta askari wamekaa mkao wa vita kama ilivyo siku hizi.

Wameuawa wawili lakini watatu aliyepigwa risasi bado hali yake haijafahamika.

==========
Two people dressed in bui buis have been killed after attempting to burn the Central Police Station in Mombasa.

Initial reports indicated that three people dressed inbui buis arrived at the station and one attempted to light it using petrol.

Two were shot dead by police while the situation of the third one could not be immediately established.

Witnesses, however, said the third attacker was believed to have been burnt by the fire.

The police station was immediately cordoned off by General Service Unit (GSU) officers.
Two killed in foiled attack on Mombasa police station
 
Duuu aisee kumbe Ufaransa waliona mbali watu kuvaa nguo za kufunika mwili mzima ni tatizo
 
Duuu aisee kumbe Ufaransa waliona mbali watu kuvaa nguo za kufunika mwili mzima ni tatizo
Mashambulizi yote Ufaransa yalitekelezwa na hao wavaaji!!!?
Mwanadamu haishiwi mbinu ndugu,
Vazi hilo limechafuliwa na washenzi.
 
Mje mtuambie ni Watanzania!!
Mjuane hukohuko

Mkishalishwa hayo majini yenu hamnanga mambo ya Utanzania wala Ukenya wala uzalendo, mnakua mazombi na kujilipua ovyo. Hivyo wacha kutafuta njia za kuharibu mada kwa kuleta ligi baina ya Tanzania na Kenya, mnafahamika mazombi nyie.

Halafu sasa mnavaa buibui.... Japo mumeshtukiwa tu hata kwa hilo vazi la kininja.
 
Mashambulizi yote Ufaransa yalitekelezwa na hao wavaaji!!!?
Mwanadamu haishiwi mbinu ndugu,
Vazi hilo limechafuliwa na washenzi.
Na kweli washenzi wamelichafua vazi hilo zuri la kujisitiri kwa wanawake
 
Mkishalishwa hayo majini yenu hamnanga mambo ya Utanzania wala Ukenya wala uzalendo, mnakua mazombi na kujilipua ovyo. Hivyo wacha kutafuta njia za kuharibu mada kwa kuleta ligi baina ya Tanzania na Kenya, mnafahamika mazombi nyie.

Halafu sasa mnavaa buibui.... Japo mumeshtukiwa tu hata kwa hilo vazi la kininja.

Mada inabadilishwaje!!?

Mie nilijua hao watu waliisha kumbe wapo!!
kazi mnayo
 
Na kweli washenzi wamelichafua vazi hilo zuri la kujisitiri kwa wanawake
Wakitoka kwwnye hilo
Watakuja kwenye Kanzu,
Ugaidi hautakwisha bila mfadhili na msababishaji hawata koma kufanya ushenzi wao.

Hakuna dini yakweli inamtuma mtu kuua mtu
Hizi ni njia za washenzi kutekeleza ushenzi wao.
 
Some satire kidogo from the web[emoji2]
1473592390507.jpg
 
Real religion is all about love, peace,cherish etc, sasa hawa wenzetu wanaoua wenzao in the name of religion, mungu gani huyo anaeruhusu mauji kama sio Lucifer?
 
Lakini bana Alshabaab wanharibu dini, kweli, sasa hata mavazi ambayo ni ya heshima kuwasetiri wanawake kwa kweli wanayachafua hivihivi??? Astaqfirullah
558878_567592653275889_497382055_n_zps5fffad1a.png~c200
 
Back
Top Bottom