Alternative für Deutschland, AfD, ikishinda uchaguzi wa Ujerumani Jumapili, Muslim Brotherhood wajue Mwisho wao Umewadia

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
1,598
Reaction score
1,294
Baada ya njama za Islamists zikibeba maono ya Muslim brotherhood kupamba moto tokea Hamas wavamie Israel October 7, 2023 tukashuhudia pia kuibuka kwa siasa za mrengo wa kulia huko Ulaya.

Reform Uk, Alternative für Deutschland, AfD, National Rally (France), Victor Oban Hungari, Geert Wilders (Holland), Freedom Party of Austria. Mpaka sasa bado Wasosialisti wa Ulaya bado wamefanikiwa kuwadanganya wananchi wao wasiviingize madarakani vyama hivi.

Lakini matukio ya karibuni ya kuingia madarakani Trump na kuongezeka kwa vitendo vya kikatili huko ulaya vinavyofanywa na wahamiaji islamists vimewazindua akili wazungu.

Wahamiaji hawa kwa kiasi kikubwa imekuwa ni Sera za Wasosialisti hao wakiwa madarakani, kubwa ili waendelee kupata mtaji wa wapiga kura.

Sasa kimeumana. Tunasubiri hiyo domino ya kwanza Ujerumani kuanguka
 
Au Dunia inarudi kwenye zama za Ufashisti?!
No, Wananchi wengi zaidi wa nchi za bara la Ulaya wamekuwa wakichukizwa Sana na suala la Tawala za nchi zao kuwakubali na kuwakaribisha Wahamiaji wasio na faida na Wahalifu wabaya kwenye mataifa yao. Wahamiaji wasio na faida, na Wahalifu kutoka katika nchi za Afrika na Asia hususani Nchi za kiArab wamekuwa kero kubwa sana na mizigo katika nchi za bara la Ulaya. Hali hii inaibua hasira kubwa sana miongoni mwa Watu/Wananchi wengi zaidi kwenye nchi hizo na hatimaye Wanaibuka Watu wenye misimamo mikali Sana ya Kupinga Wahamiaji.
 
Au Dunia inarudi kwenye zama za Ufashisti?!
Ufashisti ulikuwa mbaya sababu ya Hitler, ila Jamii yenywewe hupenda viongozi wenye asili ya Ufashisti.

mfano hapata Tanzania Lissu na Makonda wanapendwa sana sababu wana mchanganyiko wa Ufashisti.

Ufashisti kwa tafsiri nyingine ni Undugu/Brotherhood
 
Hii ndio definition ya Fascism unaona Lissu anazo hizi sifa?!🤔
Fascism is a far-right, authoritarian, and ultranationalist political ideology and movement, characterized by a dictatorial leader, centralized autocracy, militarism, forcible suppression of opposition, ...
Au ulikuwa una maana Magufuli.
 
Wiki iliyopita tumeona Hadi Elon musk amepigia Debe chama hiki AfD kishinde uchaguzi.
Endapo AfD wakichukua madaraka tutegemee ujerumani itasafishwa kwelikweli hasa Kwa waarabu na waafrica..
Wajerumani asilia ni hawa AfD hawa ni zaidi ya Nazis ya akina Hitler
 
AfD wanasera ya "Remigration" ambayo itawaondoa Raia wa Ujerumani wenye asili ya kigeni na kuwarudisha walikotoka sera hii naona ni ya kibaguzi.

Hizi ni sera za Kinazi.
 
Hao waarabu inafaa wafukuzwe tu warudi makwao utawalazimishaje watu wafuate utamaduni wako wakati hapa duniani kila jamii ina utamaduni wake unaotofautiana na wa jamii zingine na ndivyo Mungu alivyoweka kulingana na settings zake.
 
Baada ya njama za Islamists zikibeba maono ya Muslim brotherhood kupamba moto tokea Hamas wavamie Israel October 7, 2023 tukashuhudia pia kuibuka kwa siasa za mrengo wa kulia huko Ulaya.

Reform Uk, Alternative für Deutschland, AfD, National Rally (France), Victor Oban Hungari, Geert Wilders (Holland), Freedom Party of Austria. Mpaka sasa bado Wasosialisti wa Ulaya bado wamefanikiwa kuwadanganya wananchi wao wasiviingize madarakani vyama hivi.

Lakini matukio ya karibuni ya kuingia madarakani Trump na kuongezeka kwa vitendo vya kikatili huko ulaya vinavyofanywa na wahamiaji islamists vimewazindua akili wazungu.

Wahamiaji hawa kwa kiasi kikubwa imekuwa ni Sera za Wasosialisti hao wakiwa madarakani, kubwa ili waendelee kupata mtaji wa wapiga kura.

Sasa kimeumana. Tunasubiri hiyo domino ya kwanza Ujerumani kuanguka
Ikhwan Muslimin au mnaita muslim brother hood kip North Africa .. Egypt.. kina uhusiano gani na siasa za Ujerumani .. sijapata connection mwisho wao vipi ?! Ni kwamba Ujerumani watapeleka majeshi Misiri?!
 
Hao waarabu inafaa wafukuzwe tu warudi makwao utawalazimishaje watu wafuate utamaduni wako wakati hapa duniani kila jamii ina utamaduni wake unaotofautiana na wa jamii zingine na ndivyo Mungu alivyoweka kulingana na settings zake.
Basi NATO na USA waache kwenda kuchafua nchi zao ... uone kama kutakuwa na wakimbizi
 
Ikhwan Muslimin au mnaita muslim brother hood kip North Africa .. Egypt.. kina uhusiano gani na siasa za Ujerumani .. sijapata connection mwisho wao vipi ?! Ni kwamba Ujerumani watapeleka majeshi Misiri?!
Ji elimishe Mtanzania mwenzangu. Wewe mpaka leo hii huwajui muslim brotherhood! Hujui kuwa baada ya kufukuzwa Egypt wakaenda Saudia, ndiyo wao walioleta imani za Wahaabi kule saudia na baadae saudia kuwafukuza! Haujui kuwa kwa sasa pesa za Qatar ndiyo zina finance muslim brotherhood huko ulaya na America. Na hizi hapa ndiyo siasa zao za Kishetani

View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1892907324806750490
 
Back
Top Bottom