Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 4,437
- 13,836
Ngoja nikwambie, wale waafrika, walatino, wahindu huko ulaya na America uamuzi wa kuwaondosha uwe case by case, siyo collective punishment. But when it comes to Islamists tatizo ni kwenye KITABU chao. Ndiyo maana muislam wa Tanzania, Pakistan Egypt Syria na kuingineko wata behave the same way wanapotokea kuchangamana na watu wasiyo waislamu. Mbaya zaidi, Agenda yao imechukuliwa na Muslim brotherhood ambao popote pale Duniani wanataka kusimamisha Dola ya KiislamuRadical Islamist ni janga na mimi nasapoti wanyang'anywe uraia na kurudishwa makwao lakini sio kuonea watu kwasababu ya Dini Rangi nk.
Mbona Waisilamu wa Albania ni tofauti? Uislamu unaweza kufanyiwa Reforms ili uendane na karne hii mambo ya kumuiga Mtu aliyeishi karne ya Saba aliyetumia miswaki ya miti wakati leo tuna tooth brush.Islamists tatizo ni kwenye KITABU chao. Ndiyo maana muislam wa Tanzania, Pakistan Egypt Syria na kuingineko wata behave the same
Akili zenu bana,unadhani uislam unatokana na katiba ya bavichaa!?.. endeleeni kubadilisha hiyo dini yenu mkibariki liwati kanisaniMbona Waisilamu wa Albania ni tofauti? Uislamu unaweza kufanyiwa Reforms ili uendane na karne hii mambo ya kumuiga Mtu aliyeishi karne ya Saba aliyetumia miswaki ya miti wakati leo tuna tooth brush.
Hapo kwenye Quruani kuna mikono ya Binadamu na Binadamu hiwa anakosea unaweza tu tunadilisha kwa mfano Aya inasema wauweni wasioamini Uisilamu yaani "Makafiri" unabadilsha na kuandika "Wapendeni Makafiri" kuna ubaya gani?!Akili zenu bana,unadhani uislam unatokana na katiba ya bavichaa!?.. endeleeni kubadilisha hiyo dini yenu mkibariki liwati kanisani
Idea ya wahabi ni mbaya sana tena hatari sana . Huyo jamaa wao anafuata mila zao sijui hayo mafundisho anayatoa wapi hata waarabu wenzao picha haziendi .Ji elimishe Mtanzania mwenzangu. Wewe mpaka leo hii huwajui muslim brotherhood! Hujui kuwa baada ya kufukuzwa Egypt wakaenda Saudia, ndiyo wao walioleta imani za Wahaabi kule saudia na baadae saudia kuwafukuza! Haujui kuwa kwa sasa pesa za Qatar ndiyo zina finance muslim brotherhood huko ulaya na America. Na hizi hapa ndiyo siasa zao za Kishetani
View: https://x.com/AzatAlsalim/status/1892907324806750490
Hamna reforms labda huko kwenu , soma kwanza uelewe waislamu hawawezi kubadilisha chochoteMbona Waisilamu wa Albania ni tofauti? Uislamu unaweza kufanyiwa Reforms ili uendane na karne hii mambo ya kumuiga Mtu aliyeishi karne ya Saba aliyetumia miswaki ya miti wakati leo tuna tooth brush.
Wana haki ya kutetea nchi zao kwa manufaa yao, tatizo ni mentality ya kukataa kwenu acheni mfukuzwe kama wanyama ...Huwa nawashangaa waafrika wanashobokea mafashisti ya kizungu kama Trump, Elon Mask, Netanyahu, Putin, AfD, Marie La Pen N.K
Ni kukosa elimu.
Ona ulivyo mpumbavu juu ya QuranHapo kwenye Quruani kuna mikono ya Binadamu na Binadamu hiwa anakosea unaweza tu tunadilisha kwa mfano Aya inasema wauweni wasioamini Uisilamu yaani "Makafiri" unabadilsha na kuandika "Wapendeni Makafiri" kuna ubaya gani?!
Kusema Quruani ni "direct word of God" ni kudanganya Binadamu Mungu huwa haandiki ni Binadamu ndio anaadika sasa kwanini Mashehe wa Kiislamu wasikae chini na kurekebisha?Hamna reforms labda huko kwenu , soma kwanza uelewe waislamu hawawezi kubadilisha chochote
Baada ya anguko la Hitler, kugawanywa Kwa ujerumani na baadae kuungana mwaka 1990 , mpaka Leo siioni Tena ujerumani katika nyanja za ushawishi kimataifa, imebaki tu na status ya taifa lenye Uchumi mkubwa ulaya lakini ki influence imezidiwa hata na France pamoja na UKBaada ya njama za Islamists zikibeba maono ya Muslim brotherhood kupamba moto tokea Hamas wavamie Israel October 7, 2023 tukashuhudia pia kuibuka kwa siasa za mrengo wa kulia huko Ulaya.
Reform Uk, Alternative für Deutschland, AfD, National Rally (France), Victor Oban Hungari, Geert Wilders (Holland), Freedom Party of Austria. Mpaka sasa bado Wasosialisti wa Ulaya bado wamefanikiwa kuwadanganya wananchi wao wasiviingize madarakani vyama hivi.
Lakini matukio ya karibuni ya kuingia madarakani Trump na kuongezeka kwa vitendo vya kikatili huko ulaya vinavyofanywa na wahamiaji islamists vimewazindua akili wazungu.
Wahamiaji hawa kwa kiasi kikubwa imekuwa ni Sera za Wasosialisti hao wakiwa madarakani, kubwa ili waendelee kupata mtaji wa wapiga kura.
Sasa kimeumana. Tunasubiri hiyo domino ya kwanza Ujerumani kuanguka
Naomba nikuulize Quruani imeandikwa na Mungu?!Ona ulivyo mpumbavu juu ya Quran
Mawazo uko sahihi hata mawazo ya vichaa yanathaminiwa , muda mwingine kama mambo hayakuhusu ni btter kukaa kimya .Kusema Quruani ni "direct word of God" ni kudanganya Binadamu Mungu huwa haandiki ni Binadamu ndio anaadika sasa kwanini Mashehe wa Kiislamu wasikae chini na kurekebisha?
Kwa nini unauliza hivyo,wewe ulisikiaje?!Naomba nikuulize Quruani imeandikwa na Mungu?!
Kwanini yasinihusu wakati likilipuka bomu namimi nitafia hapo?!muda mwingine kama mambo hayakuhusu ni btter kukaa kimya .
Kujibu tu inakuwa ni tabu😂😆Kwa nini unauliza hivyo,wewe ulisikiaje?!
Nijibu swali la kijinga!!Kujibu tu inakuwa ni tabu😂😆
Siasa ni vita mpk utaje uwoga? Nyie mna ajenda ya siri ila haina nafasi hp kwetuKwa kwetu TZ kwakweli ni jambo lisilowezekana maana wananchi wenyewe tu waoga mno mkuu, uthubutu huo hatuano hata.