Abel K Mwamlima
Member
- Sep 14, 2016
- 11
- 5
Nahitaji alternator ya gari kwa bei rahisi! Nisaidie kama una upeo wa masuala haya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu shibisha nyama habari yako kila gari kila engine ina alternator yake sasa utashindwa kusaidiwa kwa kuwa hatufaham unaomba msaada au unatafuta alternator ya gari gani? mm ninazo njoo nikuuzie basiNahitaji alternator ya gari kwa bei rahisi! Nisaidie kama una upeo wa masuala haya!