Alternators!

Nahitaji alternator ya gari kwa bei rahisi! Nisaidie kama una upeo wa masuala haya!
mkuu shibisha nyama habari yako kila gari kila engine ina alternator yake sasa utashindwa kusaidiwa kwa kuwa hatufaham unaomba msaada au unatafuta alternator ya gari gani? mm ninazo njoo nikuuzie basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…