Bmw m5
Member
- Oct 20, 2024
- 73
- 95
Wakuu habari ya muda huu, ukweli toka moyoni nimekua navutiwa sana na gari aina ya Toyota alteza, hasa 4 cylinder engine.. Manual Transmission, kiasi cha kukosa usingizi nikifikiria siku ya kwanza kumiliki hii chuma itakuaje🙄🤔🤗
..Lakini pia nimekua nafuatilia na pia napenda sana kujifunza drifting, naamini ipo siku nitakua vzuri kwenye kudrift.🙏
-Baada ya kufanya utafiti kidgo kwa wabobezi nimebaini ya kuwa alteza yenye engine kubwa ya 4 ni nzuri zaidi kwenye speed, pamoja na drifting, huku ikiwa ina uwezo wa kwenda 9.5 km/ 1 litre...tofauti na teza ya 6 yenye engine ndogo...ambayo huenda km nyingi zaid almost 12 per 1 ltr.
-Nimekuja kwenu wakuu ili nipate muongozo, maoni na experience zaidi kuhusu alteza hii, ninayojiandaa kuimiliki as soon.
karibuni sana wadau
niko Mbeya-Soweto