Alteza na ndoto ya drifting

Mfano wa drifting
 

Attachments

  • bagamoyo_altezza_drift_tanzania(360p).mp4
    4.6 MB
Reactions: Tsh
Kila la heri ila kwa second hand hapa Bongo huwezi kupata hiyo millage,, nyingi zimetembelewa zaidi ya miaka 15 Bongo na registration ya nyingi ni Cxx, hivyo tayari zinashida za Engine na Gearbox ila ukitulia unaweza pata chuma nzuri kikubwa upate fundi mtaalamu wa kukagua chuma.
 
sawa kaka... shukrani sana 🙏
 
Asante kwa taarifa.
 
samahn, mkuu hivi ni kweli teza yenye 6 cylinder sio rafiki kufanya drifting ukilinganisha na ile yenye engine kubwa ya 4 cylinder?
Hii drifting unaenda kuifanyia wapi mkuu?, Gari ina miaka karibu 25 tangu itengenezwe, unataka kununua used tena used ule mtumba wenyewe si matairi yataruka, geabox ichomoke ikaue wasio na hatia? Kuwa na huruma boss.
 
ni kitu ambacho kinanivutia sana, navyowaona turning gang., team tezza wakidrift nimetokea kupenda, nahisi ni hobby yangu mkuu,..na kuna jamaa wa hapa mbeya-soweto, steve_techn amekua akiniinspire sana kumiliki alteza
Na hujawai kudrift?

Dream car ndio user name yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…