Car4Sale Altezza CFH 541 cc1990 bei M6

Mkuu naomba more details
Engine capacity
mileage
registration no.
cylinders 4/6
picha za ndani
iko wapi hiyo gari?
je Ina tatizo gani?
 
Tatizo lake ina mafuta full tank,jingine ukiwasha tu mara moja inawaka,jingine haijarudiwa rangi,jingine ina taili mpya na ina kilomita 65000
 
Mkuu naomba more details
Engine capacity
mileage
registration no.
cylinders 4/6
picha za ndani
iko wapi hiyo gari?
je Ina tatizo gani?

Gari haina tatizo lolote, engine yake ni 1990cc, picha za ndani nitatuma gari niya mwaka 2013
 
Gari haina tatizo lolote, engine yake ni 1990cc, picha za ndani nitatuma gari niya mwaka 2013
Production ya mwisho ya Toyota Altezza ni mwaka 2005.. mkuu labda useme uliagiza mwaka 2013. Kwa mwenye kujua hizi gari kwa engine, yenye cc 1990 ina engine ya 3S ambayo ni 4cylinder na yenye cc 1980 ina engine ya 1G ambayo ni 6 cylinder
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…