Altezza gita vs Mark II blit

Mbalamwezi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2013
Posts
2,073
Reaction score
2,026
Za lelu valongo vangu....umuofia kwenu....namnani.....namakise.....shimbonyi.....na wengine nimewasalimia kwa lugha zenu...wakuu kuna mdau anataka kuvuta ndinga moja kati ya hizo sasa ameniomba nimshauri achukue ipi?considering important factors such as fuel consumption,stability,appearance etc
Mark II Blit
Altezza Gita
 
Mark 2 imetulia alteza imeshakua yeboyebo watoto kibao wachezea mark 2 inaheshima kias
 
Hizo gar ukiishiwa unaweka nje ya mortuary unapiga pesa mbaya!
 
Mie naenda kwa Mark II Blit. Ipo kiheshima zaidi. Upande wa fuel nahisi kama they're almost the same. Maintanance naona kama Mark II itakuwa easy provided spare zake kama vile shock absorbers zipo kila kona tofauti na Tezza.
 
Hizo gar ukiishiwa unaweka nje ya mortuary unapiga pesa mbaya!
Hiyo Blit iko kama zile gari za kubebea miili pale Muhimbili, sory ni mtazamo wangu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…