Altezza zapotezwa na Subaru!

Altezza zapotezwa na Subaru!

3S GE 🔥🔥🔥

1000106020.jpg
 
Acheni ushamba Pro Max.
Kwanza, wekeni picha tujue yupi ametisha sana sio unakuja na hoja zako tu kutoka pori la kimisi.

Pili, msiaminishe watu kuwa kitu fulani ni bora kuliko kitu fulani kwa matanioni yenu na chuki dhidi ya kile msichokipenda.

Tatu, Mkuu (Mtoa post) una hata baiskeli wewe?
 
Back
Top Bottom