Alu dawa iliyoexpire!

Alu dawa iliyoexpire!

Konzogwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2008
Posts
434
Reaction score
156
Daktari kanipa alu antmaralia imeisha muda toka feb 2009,nilipomwuliza kasema haina shida mana haijaisha miez3 zaidi,ikisha ndo hatari...Nihakikishieni haraka jaman mana sijameza natafuta ushauri kwanza.
 
Mimi sio mtaalamu lakini nakushauri usitumie maana waliozingeneza waliweka tarehe ya mwisho kutumika.
 
Kama mimi ni wewe sinywi hiyo dawa bora hata uende pharmacy na kununua dawa kama hiyo ambayo haijaisha muda wake kimatumizi(expire). Huyo daktari hajafanya jambo la kiungwana kabisa,kwanini kwanza amekupa wewe hiyo dawa? halafu umelipia mwenyewe?
 
hiyo haifai kunywa kama si madhara ya moja kwa moja basi inaweza ikashindwa kutibu malaria uliyonayo. msamehe huyo daktari, atakuwa alikuwa kwenye hali isiyokuwa ya kawaida.
 
Usinywe! tupa kabisa na nenda kamwambie huyo dakitari awache upuuzi wake.
 
Daktari kanipa alu antmaralia imeisha muda toka feb 2009,nilipomwuliza kasema haina shida mana haijaisha miez3 zaidi,ikisha ndo hatari...Nihakikishieni haraka jaman mana sijameza natafuta ushauri kwanza.

...kuna tofauti ya Expiry date na Best by date,... kama Dakitari kakwambia tumia, wewe zibwie tu...ukishamaliza dozi kacheki kwa Dokta huyo huyo kama hao wadudu bado wamo au la!

Hiyo ngoja ngoja ndio inayokusababishia wadudu wazidi kuzaliana mwilini!
 
usinywe imeisha muda hiyo. Kanunue nyingine.
 
Daktari kanipa alu antmaralia imeisha muda toka feb 2009,nilipomwuliza kasema haina shida mana haijaisha miez3 zaidi,ikisha ndo hatari...Nihakikishieni haraka jaman mana sijameza natafuta ushauri kwanza.

Mimi nadhani kubaliana na waliokushauri kwenda kununua dawa ya aina hiyo hiyo ambayo haijaisha muda wake. Kama ulienda hospitali/zahanati za kulipia huyo Daktari hataki kupata hasara ya dawa alizonunua na zimeisha muda wake kabla ya kuziuza.
 
Nawashukuruni wana jf.Nimenunua zingine na nimekunywa nasikilizia.Mungu awabariki kwa ushauri wote mlonipa.
 
Daktari kanipa alu antmaralia imeisha muda toka feb 2009,nilipomwuliza kasema haina shida mana haijaisha miez3 zaidi,ikisha ndo hatari...Nihakikishieni haraka jaman mana sijameza natafuta ushauri kwanza.

Mkuu Konzogwe, pole na kuumwa malaria. Nakushauri vitu viwili, kwanza ili kujitibu kwa uhakika hiyo dawa USINYWE, nenda kituo kingine cha huduma za afya upate dawa ya ALU ambayo muda wake haujaisha. Pili ili kujikinga na malaria, tumia chandarua kilichowekewa dawa ya ngao wakati wa kulala.
 
Hao ndio madoctor wenyewe mafisadi wasiokuwa na elimu ya kutosha na kuingizana kwenye maofisi kwa njia ya kujuana.......Angekuwa nchi za watu huyo sijui ingekuwaje.....Hana adabu na usinywe hizo dawa mkuu maana doctor mwenyewe hajasoma kabisa!!
 
...kuna tofauti ya Expiry date na Best by date,... kama Dakitari kakwambia tumia, wewe zibwie tu...ukishamaliza dozi kacheki kwa Dokta huyo huyo kama hao wadudu bado wamo au la!

Hiyo ngoja ngoja ndio inayokusababishia wadudu wazidi kuzaliana mwilini!

Mbu! Sina hakika kama umesema kwa mzaha ama uko Serious lakini kwa ufahamu wangu ni kuwa Expiry Date February 2009 na Best By February 2009 yote ni kitu moja. moja ni tarehe ya mwisho ya matumizi na nyingine hiyo dawa (chakula) inaweza kutumika hadi....!
 
You 're quite right,

'mwisho wa matumizi', au, 'inaweza kutumika hadi/mpaka' ndio hiyo Expiry date.

Best before, date ina maana kiwango cha ubora ni mpaka tarehe tajwa, zaidi ya tarehe hiyo kiwango cha ubora kinapungua. 🙂
 
Definition of Expiration date

Expiration date: The date for a drug estimated for its shelf life with proper storage in sealed containers away from harmful and variable factors like heat and humidity.

The expiration date of a medicine is based on data, called accelerated stability data, from testing by the manufacturer, that show the product will be good for a particular period of time.

The major codes are:

* Sell by Don't buy the product after this date. This is the "expiration date."

* Best if used by Flavor or quality is best by this date but the product is still edible thereafter.

* Use by This is the last day that the manufacturer vouches for the product's quality.

Food
* "Best before" dates are mandatory on packaged goods with a shelf life of 90 days or less.

* "Packaged-on" dates are mandatory on meat. They are designed to co-ordinate with a chart on display at meat counters that helps consumers determine how long meat will be good to consume from the date it is packaged.

* "Expiry dates" are required on fortified foods, such as infant formula or liquid nutritional supplements. They are also required on medication. Drugs degrade over time and some prescription medicine can be dangerous after their expiry date.

Click here for more info: medicine net
or
Here: Best before
 
You 're quite right,

'mwisho wa matumizi', au, 'inaweza kutumika hadi/mpaka' ndio hiyo Expiry date.

Best before, date ina maana kiwango cha ubora ni mpaka tarehe tajwa, zaidi ya tarehe hiyo kiwango cha ubora kinapungua. 🙂

Next ni kunyambulisha, what is important, best before 'date' ama expiry date. Mawazo yangu;

*Best before 'date' yamaanisha after hiyo date ubora unapungua

*Expiry date yamaanisha date serious zaidi- haina ubora tena na possibly
ishaanza kuwa na madhara/sumu!
 
Back
Top Bottom