Daktari kanipa alu antmaralia imeisha muda toka feb 2009,nilipomwuliza kasema haina shida mana haijaisha miez3 zaidi,ikisha ndo hatari...Nihakikishieni haraka jaman mana sijameza natafuta ushauri kwanza.

Huyo daktari mdini....Usinywe! tupa kabisa na nenda kamwambie huyo dakitari awache upuuzi wake.
...kuna tofauti ya Expiry date na Best by date,... kama Dakitari kakwambia tumia, wewe zibwie tu...ukishamaliza dozi kacheki kwa Dokta huyo huyo kama hao wadudu bado wamo au la!
Hiyo ngoja ngoja ndio inayokusababishia wadudu wazidi kuzaliana mwilini!
Mbu! Sina hakika kama umesema kwa mzaha ama uko Serious lakini kwa ufahamu wangu ni kuwa Expiry Date February 2009 na Best By February 2009 yote ni kitu moja. moja ni tarehe ya mwisho ya matumizi na nyingine hiyo dawa (chakula) inaweza kutumika hadi....!
You 're quite right,
'mwisho wa matumizi', au, 'inaweza kutumika hadi/mpaka' ndio hiyo Expiry date.
Best before, date ina maana kiwango cha ubora ni mpaka tarehe tajwa, zaidi ya tarehe hiyo kiwango cha ubora kinapungua. 🙂