Ungeweka elimu kuhusu Aluminiun
Kiufup dirisha zimewekw san lakn fund njoo n mbin mpya kupata watej
Mfano
hizo dirish za aluminium watu wanapiga kelel kuingiza mbu sas Fundi njoo na mkakat wako kua unazuiaje mbu kupenyeza ndan? ili tuvutiwe na kaz yako
Kuacha gapes
Fundi unatueleze namn umahir wako ulivo kutokuach gapes kweny izo dirisha