Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
Google Kuna debate kuhusu utata wa AIDSTaaluma ya afya ni complex sana especially kwenye field ya vaccine.
Hizi topic zako za sasa hapa jamvoni mhemko tu na hofu uliyojengewa na imani yako ya kidini.
Kukuhakikishia hilo ukapelekwa katika jopo la madaktari ueleze hicho ulicho copy huko mtandaoni utatapika coz wewe ni layman kwenye field ya afya.
Huyo Lorenxo atuletee hizo tafiti zake hapa za kwamba ukimwi ni uongo tuzichambue hapa.
Inawezekana akawa mwanasayansi wa kitanzania..
Mjadala huu uko hadi humu jamii intelligence tena umeelezewa vizuri sana kuwa hiv ni hoax.
Unaleta siasa
Jibu hili swali
Ni utafiti upi umeonyesha uwepo wa Aluminium na mecury katika chanjo ya covid 19?
Hayo mengine unayoyasema ni ufinyu wa akili yako tu...
Unataka kututoa nje mada...
Mada ameanzisha mwenyewe lakini kashindwa kuitetea kwa sababu ka copy huko google kaileta bila kuifanyia uchunguzi wowote
Wewe wa ajabu sana,unanibishia na mimi ni watoto wangu!Kwanza kwa taarifa yako watoto wangu sikupeleka kliniki,kwanza wakafanye nini?Kwahiyo unadhani watoto wako walipozaliwa hawakupewa chanjo?
Walipopelekwa kliniki hawakupewa chanjo?
Je unadhani watoto wako watapinga chanjo kama ww?
Je unadhani utaweza kushindana na watu ambao hawakujui wewe na Wala huna uwezo wa kuwashinda?
Mmetuangusha sana ninyi watu wa afya.Let me say this,hamna weledi independent kabisa,you sing the song of the West,hii ni mbaya sana, you must be independent scientists.Mabeberu hawana nia njema na sisi kabisa.Asante kwa hiyo link naipitia taratabu na video nitazitazama kwa umakini mkubwa.
Bahati nzuri nipo kwenye field ya afya.
Hiki ndo nilichokuwa nakihitaji kaka.
Hapo umeniongezea element mpya ya graphine oxide...nitaifatilia kwa ukaribu.
Bora kulishwa ujinga kanisani kuliko kulishwa masumu ya chanjo na mabeberu!Nikikufuatilia sana wewe utakuwa msabato tuu maana wengi ndio ndio wanafikra za kijinga namna hii wanalishana huko makanisani...am sorry!!
Sijui hawa wanaohamasisha haya machanjo wataweka wapi sura zao madhara yatakapoonekana wazi wazi.
Hayo yote uliyoyasema unajuaje ni kweli. Halafu kwa umbumbumbu ulio nao unadhani hayo yako kwenye dini,dini has nothing to do with that,that is pure science.Umedanganywa sana na dini yako chief na unekuea mjinga kweli kweli. kwamba mRNA ni microsoft windows nini eti😂😂😂😂😂😂 kwakweli ukipata muhubiri mjinga na wewe unakuwa mjinga kama muhubiri wako
Ukishamaliza kuisoma hiyo khazarian Mafia..utuletee hapa jamvini.Aisee,labda wewe,sio mimi.Sio bure ni Talmudic Occult ya Khazarian Mafia.
Hizo chanjo ni sumu na hazifai. Hakuna beberu anayeweza kukupenda wewe. Acha kujipendekeza.
60 years ago hao mabeberu walikuwa wanawauza baba zako utumwani na kuwachapa mijeledi kama mifugo. Ni juzi tu hapa hata vizazi viwili havijapita.
Eti chanjo!!! Wakuchanje wewe kwa kuwa wanakupenda sana!
Zinduka wewe! Usiwe nyumbu!
Nimechanja na sina hofu wala shakaBora kulishwa ujinga kanisani kuliko kulishwa masumu ya chanjo na mabeberu!
I would rather stay in church and get indoctrinated with bullshits than taking those stupid toxic vaccines.
We mwaga mitusi tu, ila CHANJO MWIKO!
Mkadungane na baba zenu waliowatuma.
Uujinga tu sio kosa lako , jitafakar hata hiyo smart phone ni made in ushirombo sio? Unajua ina vitu gani ndan na je umejiridhisha pas na shaka kuw vyote ni salama kwa afya yako?Aisee,labda wewe,sio mimi.Halafu mawazo uliyo nayo sio bure ni lazima wamekupiga Talmudic Occult ya Khazarian Mafia.
Unajifariji mkuu,athari zinakuja between 0-3 years,hiyo ndiyo sayansi.Na utakubalije kutumika kama mnyama wa majaribio?jamani kweli!!!!!!!!??????Unafanywa Gunea Pig.Dah!Yaani IQ yako iko so low mkuu,pole.Nimechanja na sina hofu wala shaka
Uujinga tu sio kosa lako , jitafakar hata hiyo smart phone ni made in ushirombo sio? Unajua ina vitu gani ndan na je umejiridhisha pas na shaka kuw vyote ni salama kwa afya yako?
Mkuu achana na majitu majinga, yatapigwa chanjo na booster mpk akili ziwakae sana.Magufuli aliwaonya kuhusu machanjo wakawa wanamuona kichaa, wanajifanya wao wameendelea sana wanaujua ulimwengu.UTANGULIZI:
Nitangulie kusema kwamba kama unataka kuelewa vizuri hili bandiko na kwa nini wanawekea watoto wetu sumu kwenye chanjo, pitia Kwanza bandiko lifuatalo⬇️
Have you ever seen the Secret Covenant of the New World Order? That is, what together they have done against you and plan to do against you?
Utangulizi Naomba nitangulie kusema,kama una hasira usisome hii covenant.Inakasitisha sana kujua kwamba kumbe matatizo wanadamu kwa ujumla wetu tunayopitia watu wamekaa na kupanga.Inasikitisha zaidi kuona kwamba hakuna tunaloweza kufanya kujinasua kutoka kwenye uovu wao.It is simply too...www.jamiiforums.com
Bandiko hili linaweka wazi mipango yote miovu ya NWO dhidi ya Wanadamu.Hapo utapata picha halisi ya kile kinachoendelea.
BANDIKO LENYEWE.
Apparently Aluminum can have long term, adverse effects in the brain, as outlined by Dr. Palevsky in this public hearing of the legislature in Connecticut, U.S.A. in February of last year. Feb. 19th 2020.
Public Health Committee Public Hearings
on proposed legislation concerning immunizations
02/19/2020
Chairwoman: What are your thoughts on that?
Dr. Lawrence Palevsky: Um.. Well you heard earlier that there’s no real concern about aluminium because it’s such a small amount, and so it really shouldn’t matter.
But the kind of aluminium that we put into vaccines is a different kind of aluminium than we see environmentally. This is called a nanoparticle. And nanoparticles bind really tightly to the bacteria antigens, the virus antigens, the food protein antigens, and any other contaminants that are in the vaccines that we may not know about. And we know that the biochemical properties of nanoparticles is that they are capable of entering the brain.
And so we have not evaluated the safety of the aluminium nanoparticle and its injection.. and where it goes when it gets into the body and whether it gets into the brain. Do vaccine ingredients belong in the brain?
No. Do they get into the brain? No one has ever studied it. But animal studies using the same chemicals that are in vaccines that we give to children, directly demonstrate that the vaccine ingredients do enter the brain. We are ignoring this information.
There are scientists in Europe who’ve actually done studies on the aluminum nanoparticle and have shown that it can persist in the brain for years and decades. And so what we’re seeing is a large outbreak of neuro-developmental disabilities in adults, including Alzheimer’s.. and one of the main factors that they’re finding in the brains of people with Alzheimer’s is the aluminium nanoparticle that’s directly related to the vaccines that we’re giving.
So we have never studied whether the aluminum that we’re giving in vaccines gets into the brain. And we’ve never measured whether it stays in the brain, and what it does if it does stay in the brain.
But we do know that vaccines are supposed to cause inflammation in the body. But we have more than half of our children with chronic inflamed conditions. And we’ve never allowed ourselves to ask the question: ‘If the vaccines cause inflammation acutely, do they continue to create inflammation chronically?’
We have one in five with neuro-developmental disabilities, one in ten with ADD [attention deficit disorder] and ADHD [attention deficit hyperactivity disorder], one in thirty-five with Autism. one in eleven with Asthma.. And one in twenty under the age of five with seizures.
And the autoimmune diseases are exponentially rising.. and we are finding that the viruses and the bacteria that we’re injecting into the body, along with the adjuvants, create something called “molecular mimicry” Which means the body sees those viruses thinking that it’s foreign, but actually finds pieces of those viruses that match pieces of the ‘self’.
And the immune system doesn’t differentiate between what it’s been told to reject, and itself. So it will turn the immune system on itself, leading to an autoimmune condition.
We know this about Hepatitis B. We know it about the Gardasil vaccine.. And we know it about the Flu vaccine. And we continue to say, unequivocally, that the vaccines have been studied effectively, and that they’re safe. And that’s just not true.
Gradually this is all coming out.. Vaccines are bad-news for children. And by us being confronted with the Covid vaccine, we are having to look to them too, and to the animals. Freeing up all the sparks of consciousness – part of the One Life Who lives in all things – that Life which we call God! .. God in the human form, God in the animal form, God in the plant form and even God in the mineral form of the Earth… Everything around us IS that Life! It’s intelligent, too, for it responds to what we do, say and think.
So please, let us tread the road of Balance. For what we do, so will the Earth do, and each of Her creatures do likewise.
___
Vaccines - Dr Lawrence Palevsky .. Aluminum in vaccines enters the brain and can stay there for years even decades, given Feb. 19th 2020 | Spirit | Before It's News
Vichwa panzi wa hapa Tz hawakuelewa, jamaa wanaandamana kila siku tatizo linakuja vyombo vya habari havirushi hayo maandamano duniani kwa hio taarifa za maandamano hazisambai.Ulaya Wapo barabarani baada Ya kushtukia mchezo unadhuru Afya Ya Binaadam vibaya Mno na vifo vimezidi kwa walio chanjwa ila ndo hivyo
Ngoja tujaribu kuelimisha wajinga mkuu,labda wataamka,ila ni kweli,wapumbavu acha waangamie.Mkuu achana na majitu majinga, yatapigwa chanjo na booster mpk akili ziwakae sana.Magufuli aliwaonya kuhusu machanjo wakawa wanamuona kichaa, wanajifanya wao wameendelea sana wanaujua ulimwengu.
Acha wanyooke,watalimia meno
Mike Wizara lazima iwe na scientists wenye weledi wa kutosha na independent minded.Kwa jinsi mambo yalivyo Wizarani Sasa hatuna.Ukishamaliza kuisoma hiyo khazarian Mafia..utuletee hapa jamvini.
We need more topic like this one.