Aluminium window original from DUBAI & BALUSTER for Stairs & Balcon from TURKEY

Joined
Mar 6, 2014
Posts
27
Reaction score
2
Kampuni ya EAGLE ALUMINIUM AND GENERAL SUPPLY Inakutangazia Bidhaa za Madirisha ya Aluminium Bei kwa Sqm Sh. 120,000/= & Baluster from Turkey Kwa Mita ni Sh. 200,000/= GRIL (Bei inategemea na Maua), Automatic Rolling shutter from Europe ($250 per Sqm na Motor ni sh.$200.
###### Karibu sana Head Office Ipo maeneo ya TEGETA WAZO INDUSTRY - O755246316 & 0718590401. ########
 

Nahitaji nipe bei tafadhali
 
Wanajamii naomba tuwe series na kazi MTU amspokuwa amepost tangazo anakuwa yupo series salsa inakuwaje MTU anakuwa analeta mzaaa kwenye tangazo LA MTU ?
 

Tunahitaji kukua katika bishara na enzi hizi za utanda wazi kunahitajika uwazi katika kutangaza biashara yako bila kupata kigugumizi. Weka hapa bei za madirisha hayo, kwamba sizi hii bei hii na kuendelea ndio biashara huenda mdundo. Kusuasua kujibiwa na kutokana na kukosa uwazi katika biashara yako.
 

Asante sana mkuu...
Kwa niaba ya #teammaswali .
 
Boss kwenye Matangazo Aina yoyote Yale kiproffessional / Kiutaalamu huwa hatuweki bei mpaka Mteha apige Simu kwa Aliyeweka tangazo na hapo mteja husika ambaye yupo series anahitaji ndio tunamtajia bei. Je Chuo kipi cha Biashara Boss Wangu Ambacho Umejifunza kuwa Marketing au Advertisement yoyote kywa wanatangazaga na bei????????
 

Tazama mfano huo wenzetu wanajua kutangaza biashara kwa kuvutia mteja kwa bei, kwa hawa hakuna cha bei maelewano, bai imeshapangwa ipo hakuna majadiliano.

[h=1]Kinro 30" x 35" Aluminum Vertical Sliding Storm Window[/h]#KSW3035 View All Kinro Window Products
Product Rating
Not yet rated. Be the first to Write a review

[h=2]$58.98[/h]
IN STOCK & Ships 2-3 Business Days


 
MTU anayeweka being basis ujue hana proffessional name mambo ya matangazo Bali anakuwa anaiga kwa wengine.
 
MTU anayeweka being basis ujue hana proffessional name mambo ya matangazo Bali anakuwa anaiga kwa wengine.

Kama unafanya biashara kweli ungweza kuwa more open kupata maoni ya watu hapa, pengine unajadili na watu ambao wana upeo mkubwa katika masuala ya biashara ndio maana tunajaribu kuwafunda wengi ulimwengu wa leo biashara inatakiwa iweje.

Kutangaza bei kunauza zaidi bidhaa kuliko mtindo wa kiswahili wa bei maelewano. Ukiweka bei hapa utaona watu wanamimini kuja kununua.

Faida ya kutangaza bei ni kwamba, hata kama bei itakuwa chini ya matarajio yako lakini kukiwa na faida, faida inakuwa kubwa kwa kuelta wateja wengi kuliko ya maelewano maana wengi hawatafika kwa kuwa hawajui vema nini atatakiwa kulipa.

Makampuni makubwa unaona bei hupaa na kushuka, siku za weekend au holiday huweka matangazo yapunguzo la bei na huvutia wateja wengi kumiminika na hivyo huchuma zaidi licha ya punguzo la bei.
 
Boss asante kwa Ushauri ila nilichokigundua kuwa watu wanachanganya. Kati ya MATANGAZO NA PROMITION, NA PIA WATU WANAOUZA BIDHAA ZA KIWANDANI SIKU ZOTE LAZIMA WATANGAZE BEI. PIA NDUGU NAOMBA UELEWE KUWA MTU YOYOTE ANAPOKUWA ANAFANYA PROMOTION YA BIDHAA YAKE LAZIMA ATANGAZE BEI
 

mkuu we haujiamini huyo mdau hapo anajaribu kukusaidia na mambo yako yanaonekana ya kizamani kwamba ukitaja bei wengine watajua wewe jiamini kama mfanyabiashara ulie tulia weka bei zote, na sio tu promotion au sale ndio huwekwa bei hata bidhaa ambayo haitko kwenye promotion inakua na bei ili kurahisisha maisha kwako na kwangu usinipotezee muda na mimi nisikupotezee muda wako, usinipotezee credit zangu pia au we unasikia raha kupokea misimu miiiiiiingi amabyo watu wanapiga kuuliza bei tu then wanapotea we weka bei mtu akipiga sim unajua kati ya sim kumi nane ni biashara weka bei pleeeeeeeesa acha ubishi
 
Hizi biashara za bongo hovyo kabisa. nchi za wenzetu kila product ina bei yake. Nilikuwa natafuta solar panels lakini nimepata kampuni moja tu inaitwa helvetic (samahani kama nimekosea kuliandika) ndo wanaonesha bei kwenye website yao. Rex na wengine wanafichaficha yaani balaa.
 

mkuu kuna kitu nataka kuuliza inamaana ni kwa watu wa dar tu au je watu wa mikoani vipi watapataje huduma hii na mna office au vipi
ilifaaa zaidi kama ungetoa picha za sample watu waone ubora wake utaona na kuwa tangazo baya kumbe halijakidhi ubora wake na kuweza kushawishi msomaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…