makampuni yaliyopunguza wafanyakazi wake kwa sababu mbalimbali
- Voda wanapunguza wafanyakazi awamu ya kwanza
- Tigo washapunguza awamu ya kwanza bado awamu ya pili
- Coca cola wanapunguza awamu ya kwanza
- TBL wanapunguza awamu ya nne
- Bakhresa amepunguza awamu ya kwanza ya pili ni mwezi huu
- Airtel wamepunguza awamu mbili
- Serikali nayo haiko nyuma imepunguza awamu ya kwanza
hapo ndio utaelewa kwanini chips hazina ukoko
🙄
[HASHTAG]#WapostPumba[/HASHTAG]