Sasa hapa kinachokukera nini. Utamshitakije mtu bila ya kujua thamani ya huo ushahidi. Nakushauri upendekeze ulitaka wawe wanasemaje ili wanapokuwa wanatamka hayo maneno uone burudani 'rohoni' mwako.
andrew lengo la polisi si kuvutia watu kwa kutaja dhamani kubwa ya madawa hayo haramu.ni matakwa ya kisheria hasa kwenye sheria ya madawa ya kulevya kwamba mtu atapata adhabu kutokana na kiwango cha madawa alichokutwa nacho na adthari za wingi wa madawa hayo kama yangeinia kwenye soko haramu(black market) ni kwa minajili hiyo basisheria inabainisha wazi kuwa kwa madawa yaliyokamatwa yenye thamani ya ths milioni kumi basi hata chombo kilichotumika kusafirisha chaweza kutaifishwa. kwa maono yangu naona wako sawa kutaja thamani ili jamii ijue adhabu watakayoipata mwisho wasiku na kutisha wengine wasitende vitendo vya namna hiyoIssue hapa si mi kufurahi moyoni issue niliyoirise ni kutajwa kwa bei na kwamba kwa kufanya hivyo kunawavutia watu na hasa vijana kushawishika kujiingiza katika biashara hiyo haramu,so mawazo yangu mimi ni omission ya price na kuwekwa maneno yenye kuogofya kidogo,mfano maneno yenye kutoa athari ya madawa hayo eg,madawa yenye kuaribu akili
ulishwahi kuona yameteketezwa?