Tatizo ni mfumo,tuna mfumo wa elimu nadhalia,elimu tunayopata vyuoni haitujengi ktk misingi ya kuthubutu na kujiamini ikichangiwa na mazingira mabovu(mikakati mibovu ikiambatana na ukosefu wa mitaji) kwa anayethubutu na kujiamini.Tukubaliane tatizo ni kubwa kuliko lisemwavyo na litaendelea kuwa kubwa kama hakuna hatua zozote za makusudi zitakazochukuliwa.
Nini cha kufanya?
1.Mfumo wa elimu(kiujumla)uelekeze nguvu nyingi ktk kumjenga mwanafunzi kuthubutu na kujiamini na si huu wa kukalili,kujibu mtihani mwishowe kusubiri/tegemea kuajiliwa.
2.Kujitafutia fulsa(opportunities) mbalimbali.Sometimes wengi wetu hatuna idea ya nini tufanye,tufanyeje,tutafanikiwaje kwa njia zipi,everythng if u do sereously n properly is money.Swali naweza ulizwa wapi tukatafute fulsa?Ni kuongea na watu waangaikaji ktk maswala mbalimbali,kusoma vitabu vya ujasiliamali na mengneyo.
Ikiwa nafasi moja ya kazi inaombwa na wastani wa watu 400 ambao wote muna elimu ya vyuoni kwa mwaka 2011 basi nihisivyo mwaka 2013 itaombwa na watu 700.
..Ushauri wangu..
1.Kwa walio masomoni(level yeyote) TOENI DHANA YA KUAJILIWA VICHWANI MWENU fikiri unachasoma kitakusaidiaje kupambana na maisha KABLA YA KUAJILIWA(assuming KUAJILIWA KUMEFARIKI).Ila itakapotokea kabla hujaanza kulalamika njaa na ukapata bahati ya kuajiriwa hongera kwako na ni jambo jema japokuwa siwashauri mulifikirie hilo kwanza,kwa kuwa hapo ndipo tunapopotezea muda mwingi.