Am a job seeker

Mkuunimekupata sana,
- Ila mkuu pamoja namfumo mbovu wa elimu yetu, bado huu mfumo si sababu tosha ya kutufanyatushindwe kujiajiri,

- TATIZO NI KWAMBA WATUWANAVYO KUWA VYUONI WANA KUA NA KITU KINA CHO ITWA OVER EXPECTATIONS NA,

- TATIZO SI ELIMU BUTTATIZO LIKO KWETU WENYEWE.
- GRADUATE ANAONAAKIANZISHA HATA BUSTANI YA MBOGA ETI NI KUJICHORA, ATAZALAULIKA, MCHUMBA WAKEATAMDHARAU NA KAZALIKA

- Kuna jamaa yangummoja iikuwa amemaliza chuo hivyo hivyo, akawa hajapata kazi nikamshauri aanzeahat biashara ya kuuza vocha ili akusanye mtaji na afanye afanye biasharakubwa, alicho ni jibu ni kwamba Mchumba wake amwemabia asifanye kwa sababuatajushushia hadhi ya ugraduate.

- ILA IT THE MATTER OFTIME, KUNA KIPINDI KITAFIKA HAKUNA KITAKACHO SHINDIKANA KUFANYIKA, ZEGETUTABEBA TUPENDE TUSIPENDE, BUSTANI TULIMA, HATA VOCHA TUTAUZA.

- KENYA KUNA GRADUATEUTAKUTA WANA BEBA ZEGE, JE HAO HAWAJASOMA KAMA GEADUATE WA TANZANIA?
- UNAWEZA BEBA ZEGELAKINI UKAWA NA MALENGO FULANI

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…