Am a new memba

naona umeamua kuanzia huku mmu,au kule jukwaa la siasa unatumia jina tofauti
 
Karibu nyumbani. Karibu mpaka ndani. Hapo kwenye fridge kuna Fanta, Sprite, Coke na Togwa na pia kuna vitafunio sambusa, bajia, keki na kalimati. Chagua upendavyo ujichane kwa raha zako.

 
Last edited by a moderator:
::
Karibu ukae,,wenyeji wametoka kidogo..
Ila hawachelewi kurudi
=
 
Karibu mgen karbu mpaka ndani ila chonde tunaomba uctuletea thread za kufikirika za ki movie zaid,sawa mgen eh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…