Am a new member guys

Hahahahaha! Vibaya hivyo, kuna mwanaume mwenzio ananiita mrembo wake

Hahahahaha! Vibaya hivyo, kuna mwanaume mwenzio ananiita mrembo wake.
Aaah nimepata jibu mwanaume mwenzangu anakwita mrembo hapo nimepata jibu ina maana we sio mwanaume
 
Karibu sana sana Jf... Kuna shida na raha zake.. Raha zipokee karaha zipotezee
mshana jr namm ni member mpya nielekeze jins ya kutengeneza uzi umu jf nashukur kam ntapata msaada!!!nawasilisha
 
mshana jr namm ni member mpya nielekeze jins ya kutengeneza uzi umu jf nashukur kam ntapata msaada!!!nawasilisha
Angalia upande wako wa kulia chini kabisa utaona alama ya kiduara cha blue kina alama ya jumlisha (+). Kiguse hicho kialama then utaona option zinakuja we chagua new topic. Utaandika uzi wako hapo then ukimaliza gusa kialama cha mchale kipo kulia juu kabisa.
 
PM- private message
Gusa jina la mtu unayetaka kumtumia pm then utaona kuna blue bar imeandikwa message. Click hapo, type message yako then tuma.
 
Nami nielekeze mchale ulipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…