huyo Diva wenu aliandika hivo ktk Blog yake: Achaneni nae aaah:
JAMII FORUM NIMECHOKA SASA ....MNANITAFUTA NINI HASA??
Saa hii Usiku nimeshindwa kulala kabisaa kabisaa
jamii forum niwaulize mna matatizo gani na mimi?
hamna watangazaji wengine wa kike ambao mnaweza kuwajadili katika mtandao wenu?
maana sielewi inakuaje ??
Nakuta Picha zangu zinakuja kwenu zinajadiliwa ..... mnaiba Picha facebook mnaweka mnanijadili upuuzi ?
sasa mpaka next week naomba mtoa Picha zangu na kila kitu kinachonihusu huko katika mtandao wenu /// na m delete hizo comments chafu zinazonihusu mimi, i blog too na najua kuna uwezekano wa kuzuia comments chafu na mbovu zinazomuhusu Mtu mwingine yoyote ..NA NYIE MNAACHIA TU BILA KUJUA ZINAMUUMIZA MTU KIASI GANI NA ZINAMUATHIRI KIASI GANI..got family too ...mnajua how much inani cost hizi issue zenu za kutukanana mitandaoni na kuchafuana??
Kisheria mnanikosea na ntatumia hiyo sheria kuwaelekeza how things work .......its a free world na kila mtu ana haki ya kuishi anavyotaka yeye sawa ???
sasa kama Mnafikiri mnaweza kuandika ujinga na ku insult watu kupitia mtandao wenu ,andikeni haohao mimi sitaki kabisa nasema sitaki na sasa nachukua hatua dhidi yenu.
...have my team na najua sheria vizuri inaendaje,hii Tanzania sio marekani,hatuna uhuru huo wa kuandikana vibaya katika mitandao
Mnanichezea sasa naona ......ennuf is ennuf,i have my family ,i have people i respect and they respect me back , mbona mimi siwavunjii heshima why nyinyi mnakuwa mnanikosea lakini?why???whats wrong with u guys ???
Tutaelewana tu naamini ....... mnavuka mipaka sasa , ntapoteza tu muda wangu kwa ajili yenu ...ngoja tuone