Am a vrgn Girl!!

lol, jf inamambo co kdg.
Kwa ukaribisho mlompa u vgrn ushaondoka.
Krb mgn, hii ndo jf kama unavyoiona.

Yani acha tu,
mapokezi ya Jf kiboko,
mpaka jasho linanitoka.
Haya asante,nishakuja.
 
du! naona wakubwa wanazidi kujigonga, sijui mdogo mwenzako nitabahatika? ngoja nikazane tutakutana jukwaa la wakubwa! np pooooooooooa!

Do!
Itabidi niombe access jukwaa la wakubwa,
usijali Malema takutana tu.
 
Last edited by a moderator:
Trust me da Jane. Sasa utalala ukumbini?
 
Sijaingia kitambo sana katika hili jukwaa, kumbe nalo lina watu wamepinda hivi!!
 
We mbona unarudia rudia sredi? Si ulishaposti hapa kwamba wewe ni bikira? Au haujampata mtu? Kama vp ni PM basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…