ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 253
- 270
Mambo zenu wadau. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa. Aha kuna jambo linanitatiza. Mtu anawezaje kushiriki ngono. Huwa na imagine unakuta mtu anakaa kwao lakini ashafanya ngono. Ni anafanyia wapi na muda gani. Au ni uongo sex hakuna duniani.