ProMagufuli
JF-Expert Member
- Apr 6, 2021
- 253
- 270
Eeeh Ile muda mama katoka kwenda msibani, kisingizio Jumamosi tumeambiwa twende shule, kingine mama naenda kwa rafiki angu Fulani kufata daftari, kingine mama tuliambiwa tuwe tunatembea kwa rfk zetu kwa ajili ya kujisomea usiku....Mama akisia hvo anajua aah dogo anasoma kweli kumbe anaenda kwa bodabodaMambo zenu wadau. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa. Aha kuna jambo linanitatiza. Mtu anawezaje kushiriki ngono. Huwa na imagine unakuta mtu anakaa kwao lakini ashafanya ngono. Ni anafanyia wapi na muda gani. Au ni uongo sex hakuna duniani.
Huh kumbe. Mazingira na malezi yana impact kubwa.Eeeh Ile muda mama katoka kwenda msibani, kisingizio Jumamosi tumeambiwa twende shule, kingine mama naenda kwa rafiki angu Fulani kufata daftari, kingine mama tuliambiwa tuwe tunatembea kwa rfk zetu kwa ajili ya kujisomea usiku....Mama akisia hvo anajua aah dogo anasoma kweli kumbe anaenda kwa bodaboda
YeahHuh kumbe. Mazingira na malezi yana impact kubwa.
haha
Mungu wangu..[emoji23]Mambo zenu wadau. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa. Aha kuna jambo linanitatiza. Mtu anawezaje kushiriki ngono. Huwa na imagine unakuta mtu anakaa kwao lakini ashafanya ngono. Ni anafanyia wapi na muda gani. Au ni uongo sex hakuna duniani.
Inashangaza sana [emoji16]Mungu wangu..[emoji23]
Anatukejeli huyu hajui even 5 minutes zinatosha kumtia mimba beki tatu😬Inashangaza sana [emoji16]
Nadhani ni zaidi ya mshangao lakini pia ukitafakari sana ana point muhimu sana.. Kuna watu wako so loyal , so decent kiasi kwamba kile alichofundishwa mwanzoni ndio dunia yake ya uhalisia sasa akiona mazonge lazima ashangae mpaka ashangae tena!Inashangaza sana [emoji16]
Na wakianzaga kuzongoka wanazongokaga haswaa huwaambii kitu!Nadhani ni zaidi ya mshangao lakini pia ukitafakari sana ana point muhimu sana.. Kuna watu wako so loyal , so decent kiasi kwamba kile alichofundishwa mwanzoni ndio dunia yake ya uhalisia sasa akiona mazonge lazima ashangae mpaka ashangae tena!
Baada ya kujua kuna ukweli na kuna uhalisia halafu ayajue hayo ukubwani[emoji2]Na wakianzaga kuzongoka wanazongokaga haswaa huwaambii kitu!
Wewe na hizo akili zako za kijiwejiwe acha kupiga kelele humuMambo zenu wadau. Ni matumaini yangu mnaendelea vyema na ujenzi wa taifa. Aha kuna jambo linanitatiza. Mtu anawezaje kushiriki ngono. Huwa na imagine unakuta mtu anakaa kwao lakini ashafanya ngono. Ni anafanyia wapi na muda gani. Au ni uongo sex hakuna duniani.
hahaMungu wangu..[emoji23]
nenda jf siasa.Wewe na hizo akili zako za kijiwejiwe acha kupiga kelele humu