aaaaaaawwwww....i missed you too!!🙂
Hi good people? likizo ilikuwaje kwa wale walioenda vekesheni...fidel 😉 and co.??? Yangu ilikuwa bomba...If you are reading this post, I want to thank the Almighty for your life and health today. lets be grateful for this privilege to witness the dawn of 2010. we are not special kuna wengi ambao walikuwa na mipango mikubwa mikubwa but they are not around anymore. Do not hold on to the past, grudges, hatred and ill feelings. 2010 has lots of things to look forward to: world cup, wenye kufunga ndoa, wenye kumaliza shule etc etc ..appreciate each one of us with our unique qualities. JF iendelee kutufunza na kutuentertain pia.
I love ya'll and want to wish u the best in this year and future. sijui kama kuna mtu aliyeni-miss during my short JF hiatus??? LOL. am Back and Rolling!!!😀
Aah! Unaona sasa? Uzee mbaya sana! Ndugu zanguni naomba nitoke barazani kidogo. Ntakuwa bize kwenye PM na Shishi wangu!
Karibu shem, you r full of life and high spirited.......thats what a girl like ya need.
keep rolling till erection (I mean election, si unajua matatizo yetu watu wa huku!!?)
mie nilikumic sana shishi, kuna wakati nilikuwa free nikataka tukutane jamani, tupo mji 1 hata hatufahamiani?...niliku pm huku lakini hukunijibu dear...nikirudi huko kabla mshike mshike wa kutafuta ugali haujawa busy nitafanya juu chini tuonane mami.....God blec u ma.
we mpenzi/mkwe acha uchokozi!
ewe tafadhali pole pole usije kufa siku si zako.
Hmmm!!!...mimi chichemi kitu hapo.
Shishi werukamu!..Happy New Yr to you gal.
We still got the Fort on lockdown.
Unaona sasa! Uzee mbaya sana! Mi siku zote hii avatar ya Abtichaz nikawa nafikiria ni She! LOL!huchicheme kitu kakangu. While u were away lotsa things happened. Löl! Jamani mbona ukapotea hivyo ama ni mikaango ya memsaph? Kheri ya mwaka mpya 2 u 2.
thanx dear ati sikujibu pm yako?really?wacha niangalie am sorry sio kwa ubaya. Nipo leave til monday nxt wk so tunaweza kupata kahawa ya nguvu. Ni pm ukiwa available. Kila la kheri na mungu akuepushe na husda na awaangamize mahasidi wetu. Ameen.
mie naanza tar 18, hapa kati nategemea kurudi huko, mungu a2pe uzima....AMEN..AMEN AMEN.