Am back..nime wamiss sana sana

Am back..nime wamiss sana sana

Shishi

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Posts
1,242
Reaction score
42
Wana JF hamjambo??? siku nyingi jamani, i missed my daily dose of JF.nilikuwa nimepotelea kule mikoani building the nation... but now am back!! not sure where to start but glad to be back.

aluta continua!!!
 
/sawa mjeshi au ndio umekuja na mibomu
 
ngoja nikapekue moyo wangu ili nijue kama nilikumisi au la.
 
Karibu tena. Lets push forward together without RA. ha ha!!
 
Karibu tena dada/kaka. Libeneke tuliendeleze.
 
Shishi ndo unapotea kiivyo hata hutoi Contact detail ukiwa nje ya JF
karibu tena
 
Shishi hongera umejifungua au ndoa manake kuna thread kule started by Geoff🙂
 
siku nne tu zimepita ushatoka fungate?!! we binti vipi?
 
Welecome back my sweet darling.
Hongera kwa kujifungua salama.
Sasa utasikia raha ya kuitwa mama.
BTW ule mpango wetu bado uko palepale au ndo ushanichinjia baharini kwa kisu butu?
 
siku nne tu zimepita ushatoka fungate?!! we binti vipi?

huenda alikuwa ana bariki!
umenikumbusha mama mmoja wa watoto wanne alibariki ndoa yake hivi karibuni....
NILISHTUSHWA SANA NILIPOONA KUWA WAKINA MAMA WAKO BIZE WANAMUANDALIA KITCHEN PARTY
 
huenda alikuwa ana bariki!
umenikumbusha mama mmoja wa watoto wanne alibariki ndoa yake hivi karibuni....
NILISHTUSHWA SANA NILIPOONA KUWA WAKINA MAMA WAKO BIZE WANAMUANDALIA KITCHEN PARTY

hahahaaa!!! Walikuwa wanapasha kiporo sio! heri yangu mm.........nangoja hadi bht akue kue kidogo, ndo nifikirie kula ndafu
 
hahahaaa!!! Walikuwa wanapasha kiporo sio! heri yangu mm.........nangoja hadi bht akue kue kidogo, ndo nifikirie kula ndafu

Hey!!! Big Brother is Busy watching your steps gentleman!!!!
 
Back
Top Bottom